Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

Katikati ya nchi ni Singida mkuu
 
technically,
Jaribu kuficha upumbavu wako.

Rais hafungwi kuendeshea kazi zake za Urais sehemu yoyote ndani ya Jamhuri. Apart from Magogoni, zipo Ikulu ndogo karibu kila kanda nchini. Trump ameripotiwa mara kadhaa kuendesha kazi za urais toka kwenye resort ya Mar-a-lago Florida ambayo ni property binafsi ya Rais Trump na hatujasikia wamarekani wakipiga mayowe.

Miaka ya mwanzo ya 1980 Mwl Nyerere alipokoswakoswa kuuliwa alilazimika kutoa salamu za mwaka mpya kitaifa kutoka Butiama (As opposed to tradition) kuwezesha kusakwa na kukamatwa waliohusika na mipango ile ovu, hatukusikia watanzania wakipiga mayowe.

Huwezi kumwekea mipaka ya utendaji mkuu wa nchi ndani ya nchi yake kama vile ni Ofisa tarafa, yote ni maeneo yake.
 
Kuna mda mnalazimisha tuwatukane tu hata kama hatutaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni nyumbu Mkuu. Sifa kubwa ni kuropoka. Leo hawamshangai Makamu Mwenyekiti wa Chadema kwamba tangu achaguliwe hajawahi kuingia ofisini wala kufanya kazi yoyote ya chama. Akili zote kwa JPM anayechapa kazi usiku na mchana. Kwani Chato si Tanzania? Dodoma si Tanzania? Ajabu angekaa tu Dar bado wangelalamika. Ndio maana Mzee Mkapa aliwaita "Wajinga na Wapumbavu"!
 
Kuna utaratibu unafuatwa kwa makini hapo nami namsifu kabisa. Maeneo hayo matatu yako katika mpango mkakati kama ifuatavyo;
1. Dar es Salaam.
Shughuli zote za kidiplomasia ya kiuchumi na vita ya kiuchumi.
2. Dodoma.
Shughuli za chama na kukomesha wapinzani kimyakimya.
3. Chato.
Mambo ya kijadi na sayansi yake katika fani ya kinga.
Huo ndio mpango mkakati hasa kwa wakati huu mgumu kwenye muelekeo hasi kwa chama na yeye mwenyewe
 
Kwa hiki ulichoandika hata wewe matusi ya Che Nkapa yanakuhusu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chato kule kuna hoteli yetu nzuri tunaweza tukawalaza wote kwenye entourage ya Mh. kwa gharama cheap (100000-250000) tena za state, tuna presidential suites, tuna benki ya CRDB, tuna traffic lights, tuna airport, national park ya Rubondo, na pia tunajenga referral hospital. Usilalamike hakuna shughuli ya kitataifa imewahi kusimamia kwa ajili ya kufanya kazi Dodoma, Dar au nyumbani Chato. Huu utakuwa tu wivu wa kike. Pia tuna ndege za kwenda dar faster kama kuna dharura. Kwa shida iko wapi?
 
Nasikia chato mnataka kufanya nchi ?

Nimeona campaign ya watu wakijiita jamuhuri ya watu wa chato

Wakatoa vigezo

Kuna hospital ya rufaa
Airport
Bandari
Bado bunge tu

Naona nchi kukatika vipande vipande
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nitunze hakiba tu nisije nyea debe nahivi ala za vidole nishatoa mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…