Dodoma sio ikulu ndogo, ni hasara kujenga ikulu Dodoma kama geresha kwa kiki ya kisiasa!ShameKote kumbuka huyu ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania so kila mkoa anayo ofisi inaitwa ikulu ndogo
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe alikunajisi sio bure!Kwani makamu mwenyekiti wa Chadema ofisi zake ziko Kenya au Ufipa?!
Mambo mengine ni utaratibu wa kawaida tu!
Ingekuwa gharama zake asingefanya hivyo,hayo ni matumizi mabaya ya kodi za wanyonge anaowaongoza!Kote kote hata akiamua Moshi anaweza kaa almradi pawe na Ikulu weka akilini ni raiya No moja anao uhuru wa kukaaa popote kwa mujibu wa sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Kote kumbuka huyu ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania so kila mkoa anayo ofisi inaitwa ikulu ndogo
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaunta.Umejibu ukiwa umekaa eneo gani hapo mbona kama hauleweki?
Hapo ni ikulu ya chatouSielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato.
Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii.
Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato?
Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu.
Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo kwenye bajeti iliyopita?
Mi nadhani hili jambo la umimi sio sawa kwasababu kila rahisi angejenga kwao kuna mikoa ingekuwa mapori hadi leo
View attachment 1151860
Sisi wana kanda ya ziwa sasa hivi tunafaidi matunda ya uhuruWe jifanye mbishi tu, wenzako tunawahi viwanja Chato we umekalia kupika majungu JF - teh teh teh
Wacha ujingaSamahani nikuulize, unaelewa maana ya Rais kua na ziara binafsi??