Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

Anapokuwapo rais ndiyo ikulu na majao makuu ya nchi. Au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Hiyo Ni ziara binafsi...so Mambo binafsi hayatuhusu sana
 
Chimbo la Covid-19 lipo Dodoma au Chato?
 
Ni kila rais au rahisi ulikua unamaanisha nn?
 
Utatekwa mkuu
 
Abiria haendeshi gari hiyo ni kazi ya dereva na aendeshapo abiria marufuku kumsemesha. Dereva kapitiliza kituo, ni jambo la kawada tu kumpitisha mtu kituo chake, mtu amepitishwa na yeye kaamua kuteremka huko ili atafute usafiri mwingine wa kurudi, mnamlaumu yeye badala ya dereva.
 
Ni chato mkuu! Ulikuwa hujui!!!
 
Ukiona mtu fulani kakimbilia kijijini kwake, ujue kaikimbia Corona, imepamba moto.

Kuna kamtaa fulani kanaitwa Kajificheni Road sasa Chato imekuwa sehemu muafaka ya kujificha ili kumkimbia huyu Corona.
 
Hiyo Ni ziara binafsi...so Mambo binafsi hayatuhusu sana
Unazifahamu ziara binafsi au unaropoka kwa kuwa umeshiba na kuvimbiwa?

Ziara binafsi zinakuwa na ujumbe mzito wa kiserikali?

Au vyombo vyenu vya habari huwa vinatangaza uwongo kusema ziara ya kiserikali?
 
Kipi kigumu? Jembe yupo likizo lakini tambueni amiri jeshi mkuuhajawahi enda likizo ila mh Raisi. Hata kama yupo likizo lakini baadhi ya kazi kiitifaki lazima ziendelee. Na ndiyo maana makazi ya Raisi, makamu wa Raisi na w/mkuu kisheria lazima yawe yawe na hadhi fulani kwa gharama za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…