Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

Kuna kamtaa fulani kanaitwa Kajificheni Road sasa Chato imekuwa sehemu muafaka ya kujificha ili kumkimbia huyu Corona.
Umenikumbusha mbali sana, Dar kuna Kajificheni Close Oysterbay huku Toure Drive karibu na kwa marehemu Jaji Francis Nyalali. Kuna nyumba ya Ubalozi wa China siku hizi nafikiri.

Kimtaa kimekaa kujificha kweli kweli ukienda huko unatokea nyumba za pwani baharini tu kuangalia Salender Bridge.

Ndiyo hivyo, mkuu kakimbilia "Kajificheni" ya huko kwao.
 
Unajichanganya mwenyewe kwa kufutilia mambo yasiyokuhusu,makao makuu yakiwa dodona au chato unapungukiwa nini kama siyo kuwashwa
 
Fanya kazi wewe acha kutuchanganya
 
Dodoma tena Chamwino.
Imenipasa kutaja wilaya kwa sababu nawewe umetaja wilaya Chato badala ya Geita mkoa
 
Mkuu sijui unakwama wapi?
ushaambiwa hiyo ni ziara binafsi na wala si ya kiserikali.
Pengine labda Mseveni kaamua kuja kumjulia hali mama wa Rais wetu sasa wewe utamzuia?
Rais naye ni mtu so lazima muda mwingine mahitaji ya kijamii yamhusu.
dikteta wa ajabu haiapata kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…