Brigate iliongozwa na Mwakibolwa kipindi hiko akiwa Brigedia.Lilikua chini ya majeshi ya UN nchi zikiwa Tanzania,S/Africa(Hawa walikua wanatoa air support) na Malawi.M23 walisepa wakaenda Uganda na wengine Rwanda.Na wiki chache zilizopita hao M23 waliingia Congo wakakinukisha kidogo then wakasepa zao.
Ilikuwa sio sahihi kupambanisha kikosi cha waasi wenye askar pengine wasiozid 500 na Brigate nzima.