Hivi Makonda Bado yupo ofisini hadi Sasa!?

We chawa tu huna lolote na akili zako kama hips za makonda
 
Huyo Mungu wako huwa anawapaka mafuta watu WA hovyo wanao iabisha serikali na rais wanchi
 
Makonda anaogopwa sana. Mama atawaumbua, na kuwananga woooote, lakini siyo Paulo Makonda. Usiniulize kwa nini.
 

Ww tunakujua mayalla= NJAA
 
Kuzurumu nafisi za watu (KUUWA) hajawahi kushindwa kauwa wengi Sana Ila kumbuka auwaye kwa upanga nae atakufa kwa upanga muda NI mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…