Hivi Makonda Bado yupo ofisini hadi Sasa!?

Ni mwendo wa rejea tu dadeq🤣🤣🤣
 
Nchimbi na Makonda wapi na wapi. Nchimbi ilikuwa vs Samiah
Makonda aliposikia tu habari za Nchimbi na mambo ya katiba kahimiza apelekwe kwenye kamati ya Maadili, hili hulijui wewe?
Na ni huko kwenye hiyo kamati chini ya Wasira ndiko mambo yalianza kumharibikia Nchimbi moja kwa moja.
Inasemekana alikataa kwenda huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…