Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Maneno yako hayo kaka.Hayo maneno tu kaka,
ME na KE ina sifa zake za kuitwa hivyo, sio kupitia majina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno yako hayo kaka.Hayo maneno tu kaka,
ME na KE ina sifa zake za kuitwa hivyo, sio kupitia majina
Mbona nmewahi kusikia kuwa kuna majini huwa wanazaa na binadamu..?! Fatilia vipindi vya marehem mzee Yahya HusseinKiufupi malaika, mapepo pamoja na shetani wote ni roho, na hawazai wala hawafi. Pamoja na binadamu pia roho zetu hazifi tunakufa mwili tu. Kwenye maandiko Mungu anasema analiheshimu neno lake kuliko kitu chochote na kwenye neno amempa mwanadamu utashi wa kuchagua kufanya ila ameweka matokeo sasa kwamba ukifanya mema mwisho wako utakuwaje na endapo utafanya mabaya utakuwaje vilevile
Very imaginary, lakini poa maana kuna mambo yapo kiulimwengu wa roho zaidi ukiyatafakari ktk ulimwengu wa mwili huwezi kupata majibu yake!Parapanda itakapolia tutafufuka katika wafu na kupewa miili mipya, kwahiyo km ulipanda dhambi utaelekea kunako hukumu yako na km ulipanda mema basi utaingia ktk mji ule mtakatifu, mji wa yerusalemu
Mfalme wa Amani.
Na sio Malkia
Ukisoma Mwanzo Sita unaweza kuona malaika ni jinsia gani.dah interested question.
ninavyojua na jinsi nilivyo soma kwa upande wa malaika sio immortal creatures hufa pia ila kwa muda maarumu swala la kuwa wao wanazaliana kama sie binaadam hapana hawazaliani kwa kifupi sio wanawake wala wanaume.
Majini huzaliana na kufa pia na wanamatamanio kama binaadam tulivyo.
kama tunavyosoma kwenye hadithi nyingi baada ya shetani kumuasi Mungu aliomba awepo hai mpaka siku maalumu na kama inavyojulika shetani ni miongoni mwa majini. Hivyo nae atakufa tu muda wake ukifika.
unajua nini mkuu mie sio msomi wa Bible ila huwa napenda kusoma documentary na hata nikisoma Bible lazima nitakuwa na maswali mengi sana hivyo kuna vitu vingine huwa sipendi sana kuumiza kichwa kwani vitu vya Mungu huwa vina limits ukichunguza sana unaweza jikuta unavuna midhambi tu bila kujua.Ukisoma Mwanzo Sita unaweza kuona malaika ni jinsia gani.
Biblia inasema kisha wana wa Mungu wakawaona hao binti za wanadamu ni wazuri. Wakaingia na kuwajua hao binti ya binadamu. Na hapo ndipo walipotokea Wanefili
katika ulimwengu wa kiroho kuna vitu vingi tusivyojua huenda hata mie nikawa na watoto wengi huko.Mbona nmewahi kusikia kuwa kuna majini huwa wanazaa na binadamu..?! Fatilia vipindi vya marehem mzee Yahya Hussein
Dhambi ni Uasi wa Sheria Mkuu.unajua nini mkuu mie sio msomi wa Bible ila huwa napenda kusoma documentary na hata nikisoma Bible lazima nitakuwa na maswali mengi sana hivyo kuna vitu vingine huwa sipendi sana kuumiza kichwa kwani vitu vya Mungu huwa vina limits ukichunguza sana unaweza jikuta unavuna midhambi tu bila kujua.
sio kwamba naogopa kusoma ila naogopa akili yangu itanipeleka mbali sana, najua vitabu vyote vya dini vinamuelezea kama mwanaume na kwa upande wingine Mungu anakuambia hafananishwi na kitu kingine chochote.Dhambi ni Uasi wa Sheria Mkuu.
Hakuna dhambi ya kufanya utafiti.
Soma Biblia hutaogopa kuchunguza mambo.
huyu mtu sijui ni nani ila napendaga sana threads na comments zako haswa yakija katika mambo ya ulimwengu mwingine huwa unakosha. majini ni adui zetu na vile vile majini humuogopa mwanadamu.Allaah Anasema:
"Je! Mnamfanya yeye na kizazi chake kuwa marafiki (zenu) badala yangu hali wao ni maadui zenu? Ni mbaya kabisa kwa madhalimu badala (hii)".
Al Kahf - 50
Kauli ya Allaah katika aya hii pale aliposema 'NA KIZAZI CHAKE'. inamaanisha kwamba majini wanazaliana.
Vituko JfNdyo huzaa na kufa mfano mkeo wakati unamtongoza lazima umempe cheo cha umalaika[emoji23]
😀 😀Malaika mwenye mimba anafananaje? Je ataweza kupaa? Au ndio hujiburuza kama nyoka?
Hii ni kwa mujibu wa hadith lakinMalaika hawana matamanio hivyo hawawezi kuzaa
Viumbe vyote vitakufa kwani kila nafsi itaonja mauti mpaka majini na malaika pia
Malaika watakufa mwisho kabsa na malaika wa mwisho kufa ni Israel mtoa roho
Shetani yupo mpaka Leo kwa sababu Mara baada ya kufukuzwa mbinguni na kulaaniwa Aliomba awekwe duniani mpaka Siku ya kiama,
Allah akamwambia atakaa duniani mpaka wakati maalum hivi wakati wake ukifka atakufa
Nb:viumbe vyote vitaonja mauti atabaki Allah pekee kisha atamfufua malaika israfilu ili apulize parapanda la ufufuo
Hii ni kwa mujibu wa Quran