Hivi Malaika huzaa na kufa pia?

Hivi Malaika huzaa na kufa pia?

Hata biblia ni kitabu cha hadithi pia, Kwa maana Ulimwengu ndio uliyoanza kuwepo kwanza na watu walikuwa wakiishi kama kawaida ndipo baadae zikafuatia hizi simulizi (vitabu vya kidini) Kutoka kwenye kuumbwa kwa ulimwengu hadi kuandikwa kwa biblia kuna miaka mingapi imepita?
Hadithi ni masimulizi ya kubuni au ya kutunga. Sio masomulizi ya ukweli, ni ya sanaa ya kubuni.
Mfano.
Hadithi za Abuniwasi
Au Hadithi za Alfu Lela U Lela.
Shigongo ni mtumzi mzuri wa hadithi hapa Tanzania.
Hadithi yake moja inasema
" Raisi Anapenda Mke Wangu"

Tofautisha vitabu vya hadithi na vya historia.

Historia, ni masimulizi ya ukweli yaliyotokea Zamani.
Kwa mfano
Tanzania na Uganda walipigana vita mwaka Sabini na nane 1978.
Tanzania ilishinda vita hivyo na Raisi wa Uganda Iddi Amini alikimbilia uhamoshoni.

Biblia haijaandika Hadithi labda kama inatumika kama mfano wa kufundishia.
Biblia imeandika historia ya ukweli ya Uumbaji wa Ulimwengu na vyoote vilivyomo.
Biblia pia inaandika Historia ya Binadamu kuanzi Adamu hadi kizazi cha sasa.

Hivyo basi Biblia sio kitabu cha hadithi bali ni cha Historia ya ukweli ya chanzo cha kila kitu kilichopo leo.
 
Historia yoyote iliyokuwa ya kweli hawezi kusimuliwa na watu juu ya matukio fulani kisha usimulizi ukapishana lakini waandishi wa kwenye biblia wamefanya simulizi kupingana sana.

Je kwenye Biblia inasemaje juu ya upatikana wa vizazi vingine? Je watu waliingiliana ndugu kwa ndugu ili kuongeza vizazi au ilikuwaje? Maana Mungu aliumba binadamu wawili tu Adam na Hawa kulingana na vitabu vya dini.

Ni kweli ili kuongeza uzazi Mungu aliruhusu kuingiliana ndugu na jamaa wa ukoo mmoja.
Hadi baadae uzao ulipoongezeka Mungu akakataza ndugu wa karibu kuingiliana kwa lengo la kukuza uzao.
Angalia kitabu cha Mambo ya Walawi kuanzia sura ya 18.
Hapo Mungu anawakataza jamaa wa Nabii Musa kuingiliana ndugu kwa ndugu.
Anza na aya ya 6.

Utaona maneno kama

Usifunue utupu wa umbu lako binti wa baba yako au binti wa mama yako, nk.
Soma hadi mstari wa 20. Utaona.
 
Lete hilo andiko linaloonesha Mungu alihalalisha ndugu kwa ndugu kuingiliana.
 
Kwa malaika sijui, hata majini sijui, maana sijawahi kuwaona hata siku moja
 
Binti wa Luttu wali lala na Baba yao ili kuongeza uzao na Mungu hakuwaadhibu.
Kutokuadhibiwa kwa mtu duniani haihalalishi kuwa sio dhambi. Mfano kuiba ni dhambi lakini endapo mtu akaiba na akafa bila kuadhibiwa na Mungu duniani, hakutohalalisha kuwa kuiba sio dhambi. Nipe andiko Mungu alilohalisha watu kuingiliana ndugu kwa ndugu.

Pili Mungu hana sifa ya kuwa kigeugeu, Mungu ni mkamilifu na anajua alifanyalo. Sasa kwanini mwanzoni iwe sahihi kuingiliana ndugu kwa ndugu halafu baadae isiwe sahihi?
 
Kutokuadhibiwa kwa mtu duniani haihalalishi kuwa sio dhambi. Mfano kuiba ni dhambi lakini endapo mtu akaiba na akafa bila kuadhibiwa na Mungu duniani, hakutohalalisha kuwa kuiba sio dhambi. Nipe andiko Mungu alilohalisha watu kuingiliana ndugu kwa ndugu.

Pili Mungu hana sifa ya kuwa kigeugeu, Mungu ni mkamilifu na anajua alifanyalo. Sasa kwanini mwanzoni iwe sahihi kuingiliana ndugu kwa ndugu halafu baadae isiwe sahihi
Uzao ulipoongezeka juu ya nchi haikuwa na haja ya kuoana jamaa wa karibu.
We tafuta katika maandiko utaona Isaka alienda kumwoa Rebeka ambaye ni mtoto wa kaka wa Ibrahimu babake. Yaani Rebeka alikuwa mtoto wa baba mdogo wa Isaka. Hapo ni sawa kama alimwoa dada yake mtoto wa babake mdogo.

Watu waliongezeka juu ya nchi Mungu alikataza kuoa jamaa wa karibu ndio hapo Mambo ya Walawi 18.
 
Hapo umenipa historia ya matendo ya hao watu. Mimi sitaki matendo ya watu bali nahitaji unipe kauli ya Mungu kuwahalishia hao walichokuwa wanakitenda kuwa ni sahihi.
 
Mungu amempa binadamu utashi wa kufanya maamuzi kwenye akili yake.
Sio kila kitu lazima uambiwe ila panapohitajika kukataza anakukataza.
Ivi wewe kuna andiko linalo kuluhusu kunywa maji ?
Kiu yako ndio itakuvutia unywe maji.
Ukiona unafanya kitu na Mungu hakukatazi ujue amekuruhusu.
Tatizo unamajibu kichwani halafu unauliza kwa kutaka ligi.
Basi utufundishe wewe binadamu walizaanaje hali yakuwa Mungu alianza kuumba familia moja.
 
Mfano uliyoutumia wa kunywa maji na swala la kuingiliana ndugu ndugu ni vitu viwili tofauti. Haiwezekani jambo hilo hilo mwanzoni liwe sahihi na baadae liwe ni kosa. Wewe unasema kuwa eti kakataza kwasababu watu wameongezeka hiyo ni sababu isiyo na mashiko na wala haina nguvu. Unasema Mungu nikikwambia ulete andiko unaleta tabia na matendo ya watu. Ni kivipi Mungu awe kigeugeu kwa tukio zuri kwake akaliona baya mbeleni?
 
Labda nikuambie hivi, Andiko linasema kuwa Baada ya adamu na Eva kuumbwa, Mungu aliwaambie

"Zaeni mkaijaze nchi, mkatawale ndege wa angani na samaki wa baharini"

Hapo unaona kabisa Mungu anamwambia Adamu na Eva wazaane na kuijaza nchi.
Sasa watazaanaje bila kushiriki tendo la ndoa katika hiyo familia ?

Wewe ulitaka watoto wa Adamu nao waambiwe neno hilohilo?

Neno la Mungu lili ipa familia ya Adam na Eva jukumu la kuzaliana ili kuijaza nchi.
Inamaana wao ndio wanze kuzaliana hadi dunia iwe na watu wengi.

Una swali lingine ?
 
Kwahiyo hata Jini kabula hujawahi muona?
Ha...ha...ha...kweli umenifurahisha sana kwa jibu lako.
Jamaa hajawahi kumwona hata Jini Kabula ?
Inamaana hata Mr Chuzi hamjui...!
Hajawahi hata kuiona tamthiriya ya Jumba la Dhahabu...!
Hata Kaole hapajui kweli..!
Pale Bwagamoyo..!
Duh...!
Ya Leo Kali.
 
Samahani jamani labda ni kwa sababu ya uelewa wangu mdogo kuhusiana na hili la malaika kuzaa na kufaa.
- kwa kumbukumbu zangu kuhusu maandiko ya biblia , maandiko yanasema moja kati ya mambo yaliyo mpa ghazabu mwenyezi mungu ni suala la Malaika wake kufikia hatua ya kutamani wanadamu na kuzaa nao
-
 
Back
Top Bottom