Au Yesu angepanda bajaj na sio punda.Sijaona malaika siku za karibuni, ila sidhani kama wana haja ya kua na mabawa. Walioandika vitabu vitakatifu mara nyingi walikua wanafanya reference ya vitu vilivyopo kwa wakati huo ndio maana kuna sehemu wametaja farasi, magari ya kukokotwa na farasi nk kwamba yapo mbinguni.
Ingekua biblia inaandikwa sasa hivi, lazima kuna sehemu labda Mungu angempigia simu Musa kumpa maelekezo, au Yuda iskarioti angenaswa na kamera za cctv akipokea mlungula nk. Pia lazma wanafunzi wa Yesu wangekua na group la whatsapp.
Waanzilishi wa ma rasta manMasefari ndo nini boss
Hio point uliyo iweka hapo sijui kwanini waumini wengi ni ngumu kuielewaSijaona malaika siku za karibuni, ila sidhani kama wana haja ya kua na mabawa. Walioandika vitabu vitakatifu mara nyingi walikua wanafanya reference ya vitu vilivyopo kwa wakati huo ndio maana kuna sehemu wametaja farasi, magari ya kukokotwa na farasi nk kwamba yapo mbinguni.
Ingekua biblia inaandikwa sasa hivi, lazima kuna sehemu labda Mungu angempigia simu Musa kumpa maelekezo, au Yuda iskarioti angenaswa na kamera za cctv akipokea mlungula nk. Pia lazma wanafunzi wa Yesu wangekua na group la whatsapp.
Yule kiongozi wao aliyekuwa hapa Duniani hivi alipaaHa ha .
Usiamini kila kitu.
Ngoja yule aliyesema anaenda kuwa rais wa malaika afike huko, atakujibu.
Mabawa yote ya kazi gani sasa?Kwa mujibu wa uislamu jibril ana pair 600 ya mabawa
Not always malaika wana mabawa!Ukiangalia picha hii utaona kuna watu wenye mwonekano wa kibinadamu wakipuliza tarumbeta huku wakiwa na mabawa (wings) makubwa kwa pembeni.
Swali ,je malaika hawa wana mabawa kama maandiko yasemavyo?
Je bila hayo mabawa hawawezi kuruka ama kupaa hivyo kupoteza cheo cha malaika?
Je kama mabawa kwa malaika yana kazi ya kupaa mbona YESU KRISTO aliweza kupaa kwenda kwa MUNGU baada ya kufufuka kaburini akiwa hana mabawa.
Are the angels real have wings...????
Au ni portrayal language tu kuelezea uwezo wao wa kupaa kama ndege.
Tujadili
View attachment 1746151
Duh! Umeua mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]Sijaona malaika siku za karibuni, ila sidhani kama wana haja ya kua na mabawa. Walioandika vitabu vitakatifu mara nyingi walikua wanafanya reference ya vitu vilivyopo kwa wakati huo ndio maana kuna sehemu wametaja farasi, magari ya kukokotwa na farasi nk kwamba yapo mbinguni.
Ingekua biblia inaandikwa sasa hivi, lazima kuna sehemu labda Mungu angempigia simu Musa kumpa maelekezo, au Yuda iskarioti angenaswa na kamera za cctv akipokea mlungula nk. Pia lazma wanafunzi wa Yesu wangekua na group la whatsapp.
Madhara ya bangi kuivutia chooniMalaika nipo tunayo hayo mabawa yaan mpaka mkia ila shida meno hatuna(vibogoyo)
Umenena vyema sana.Hio point uliyo iweka hapo sijui kwanini waumini wengi ni ngumu kuielewa
Ukisoma Biblia,kama vilivyo vitabu vingine vya dini,ni wazi kuwa viliandikwa na binadam kulingana na ustaraabu na maarifa ya wakati huo
Idea ya malaika kuwa na mabawa,probably ilikua hivi
Kwakua malaika ilibidi wapae,kwa wakati huo walikua wanaamini kitu pekee kinachoweza kupaa ni chenye mabawa,so walipokuja na dhana ya malaika ilibidi wawape mabawa ili wawe consistent na maarifa ya wakati huo
Huyu malaika anapaa kutoka mbinguni kuja duniani,japo hatujui location ya "mbinguni" ila tunajua kuwa katikati ya "mbinguni" na "duniani" kuna ombwe tupu (empty space)
Hapa dhana ya malaika wenye. Mabawa haingii akilini tena kwa sababu kwenye space hakuna hewa ya "kupush back"
Hata ukiangalia dhana ya Mungu kulindwa na kundi la malaika wengi waliitoa kwenye ustaraabu wa wakati ule ambapo mfalme alilindwa na askari wengi
Hata ukiangalia mji wa yerusalem mpya ulivyoelezewa,utaona hawakua na ujanja wa kufikiria tofauti zaidi ya kutumia dhana ile ile ya miji ya wakati huo iliyokua ikizungukwa na kuta kila upande kama mipaka na ulinzi
Biblia,na vitabu vya dini kama vingekua inspired na Mungu,visingekua limited na maarifa ya wakati ule ambayo kwa sasa ni meaningless
Ninaunga mkono hoja."... Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka. ..."
ISAYA 6:2
"Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko , kuilinda njia ya mti wa uzima." MWANZO 3:24.
"... na juu yake Makerubi ya utukufu, yakikitia kivuli kiti cha rehema; ..."
WAEBRANIA 9:5.
Malaika wako madaraja mbalimbali. Daraja la juu kabisa la malaika ni Maserafi na Makerubi. Hawa ndio wako karibu kabisa na Kiti cha Enzi cha Mungu. Wamekizunguka kiti hichi.
Kuna malaika wengine wengi wasio na idadi wakifanya shughuli mbalimbali za kusujudu na utumishi. Kwa mfano kwenye Kitabu cha Waebrania malaika wameelezwa hivi: "Je, Hao wote si roho watumikao, waitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?" WAEBRANIA 1:14.
Malaika ni viumbe wa kiroho. Hawana umbo maalumu (ambalo halibadiliki) wanaweza wakavaa mwili wowote. Mfano kuna malaika wawili walitumwa kwa ajili ya kuchoma Sodoma na Gomora, hawa walikuwa na umbile la mwanadamu kabisa. Hawakuwa na mabawa. (SOMA KITABU CHA MWANZO 19:1-22.)
Ndugu zangu, mambo ya rohoni hujulikana kwa namna ya rohoni. Akili ya mwanadamu haiwezi kuyajua mambo ya rohoni. Ni lazima tuwe rohoni ili tuyaone na kuyajua ya rohoni. Hatua ya kwanza ya kuishi maisha ya rohoni ni KUMPA YESU MAISHA YAKO, ILI AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO. Huku huitwa kuzaliwa mara ya pili. Hapa ndipo mtu huanza kuongozwa na Roho wa Mungu ambapo huanza kufunuliwa na Roho Mtakatifu mambo ya ndani sana ya Mungu. Hata mafumbo ya Mungu.
"Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu"
1WAKORINTHO 2:10.
hakika YESU NI MWOKOZI.