Hivi Malaika wana mabawa?

Hivi Malaika wana mabawa?

Sijaona malaika siku za karibuni, ila sidhani kama wana haja ya kua na mabawa. Walioandika vitabu vitakatifu mara nyingi walikua wanafanya reference ya vitu vilivyopo kwa wakati huo ndio maana kuna sehemu wametaja farasi, magari ya kukokotwa na farasi nk kwamba yapo mbinguni.

Ingekua biblia inaandikwa sasa hivi, lazima kuna sehemu labda Mungu angempigia simu Musa kumpa maelekezo, au Yuda iskarioti angenaswa na kamera za cctv akipokea mlungula nk. Pia lazma wanafunzi wa Yesu wangekua na group la whatsapp.
 
Au Yesu angepanda bajaj na sio punda.
 
Mambo mengi yameandikwa kinadharia, mara parapanda Italia, Mungu atachora mstari mwekundu kwenye daftari la uzina, atachukua kitabu cheusi, kama jina lako limeandikwa na kalamu nyekundu ...etc
 
kuna movie moja ya sodoma na gomola inaonyesha malaika anapigana kwa vita zile za mapanga, jamani dini hizi zinawafanya watu vitumbua kweli
 
Kwa mujibu wa Biblia kila malaika ana sifa yake. Siyo wote wenye mabawa.
 
Mimi nafahamu Malaika wa Papa..Wana....mb..olo.l na K....na washamba fulani hivi na Sifa Yao kubwa ni mtindio wa Ubongo.
 
malaika wanakuwa na mabawa na pia hujigeuza na kuwa binadamu pindi anapokuja kwa nabii kuleta ujumbe kawaida pili mungu ana uwezo wa kila aina anaweza kukupeleka mbiguni bila mabawa kama alivyokwenda yesu hakupaishwa na mabawa bali malaika walimpaisha hivyo hivyo mtume mohamad alienda mbinguni kwa usiku moja tu na kurudi duniani kwa kutumia ngazi kutoka msikiti wa jarusalem ngazi hiyo iliwekwa na malaika na kumsaidia kupanda kwa haraka yote ni nguvu ya mungu. mungu huwezi kumjadili ana uwezo wakila aina utamjadili mungu mtu yesu lakini sio allah alieumba mbingu saba na ardhi. ikiwa allah alimuumba binadamu kwa udongo wengine kwa kipande cha damu sperms mwingine ndio yesu kwa kusema zaa maria na akazaa.: malaikawapo wengi na kila moja amepangiwa kazi yake huyo niliekutajia ni yule malaika jibril kazi yake ilikuwa kuleta ujumbe kutoka kwa mungu hadi kwa nabii hapa duniani ndio maana alitumia mabawa kuwahikufikisha ujumbe
 
"... Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka. ..."
ISAYA 6:2

"Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko , kuilinda njia ya mti wa uzima." MWANZO 3:24.

"... na juu yake Makerubi ya utukufu, yakikitia kivuli kiti cha rehema; ..."
WAEBRANIA 9:5.

Malaika wako madaraja mbalimbali. Daraja la juu kabisa la malaika ni Maserafi na Makerubi. Hawa ndio wako karibu kabisa na Kiti cha Enzi cha Mungu. Wamekizunguka kiti hichi.

Kuna malaika wengine wengi wasio na idadi wakifanya shughuli mbalimbali za kusujudu na utumishi. Kwa mfano kwenye Kitabu cha Waebrania malaika wameelezwa hivi: "Je, Hao wote si roho watumikao, waitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?" WAEBRANIA 1:14.

Malaika ni viumbe wa kiroho. Hawana umbo maalumu (ambalo halibadiliki) wanaweza wakavaa mwili wowote. Mfano kuna malaika wawili walitumwa kwa ajili ya kuchoma Sodoma na Gomora, hawa walikuwa na umbile la mwanadamu kabisa. Hawakuwa na mabawa. (SOMA KITABU CHA MWANZO 19:1-22.)

Ndugu zangu, mambo ya rohoni hujulikana kwa namna ya rohoni. Akili ya mwanadamu haiwezi kuyajua mambo ya rohoni. Ni lazima tuwe rohoni ili tuyaone na kuyajua ya rohoni. Hatua ya kwanza ya kuishi maisha ya rohoni ni KUMPA YESU MAISHA YAKO, ILI AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO. Huku huitwa kuzaliwa mara ya pili. Hapa ndipo mtu huanza kuongozwa na Roho wa Mungu ambapo huanza kufunuliwa na Roho Mtakatifu mambo ya ndani sana ya Mungu. Hata mafumbo ya Mungu.
"Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu"
1WAKORINTHO 2:10.

hakika YESU NI MWOKOZI.
 
Usiamini kila kitu.

Ngoja yule aliyesema anaenda kuwa rais wa malaika afike huko, atakujibu.
 
Sijaona malaika siku za karibuni, ila sidhani kama wana haja ya kua na mabawa. Walioandika vitabu vitakatifu mara nyingi walikua wanafanya reference ya vitu vilivyopo kwa wakati huo ndio maana kuna sehemu wametaja farasi, magari ya kukokotwa na farasi nk kwamba yapo mbinguni.

Ingekua biblia inaandikwa sasa hivi, lazima kuna sehemu labda Mungu angempigia simu Musa kumpa maelekezo, au Yuda iskarioti angenaswa na kamera za cctv akipokea mlungula nk. Pia lazma wanafunzi wa Yesu wangekua na group la whatsapp.
Hio point uliyo iweka hapo sijui kwanini waumini wengi ni ngumu kuielewa

Ukisoma Biblia,kama vilivyo vitabu vingine vya dini,ni wazi kuwa viliandikwa na binadam kulingana na ustaraabu na maarifa ya wakati huo

Idea ya malaika kuwa na mabawa,probably ilikua hivi

Kwakua malaika ilibidi wapae,kwa wakati huo walikua wanaamini kitu pekee kinachoweza kupaa ni chenye mabawa,so walipokuja na dhana ya malaika ilibidi wawape mabawa ili wawe consistent na maarifa ya wakati huo

Huyu malaika anapaa kutoka mbinguni kuja duniani,japo hatujui location ya "mbinguni" ila tunajua kuwa katikati ya "mbinguni" na "duniani" kuna ombwe tupu (empty space)

Hapa dhana ya malaika wenye. Mabawa haingii akilini tena kwa sababu kwenye space hakuna hewa ya "kupush back"

Hata ukiangalia dhana ya Mungu kulindwa na kundi la malaika wengi waliitoa kwenye ustaraabu wa wakati ule ambapo mfalme alilindwa na askari wengi

Hata ukiangalia mji wa yerusalem mpya ulivyoelezewa,utaona hawakua na ujanja wa kufikiria tofauti zaidi ya kutumia dhana ile ile ya miji ya wakati huo iliyokua ikizungukwa na kuta kila upande kama mipaka na ulinzi

Biblia,na vitabu vya dini kama vingekua inspired na Mungu,visingekua limited na maarifa ya wakati ule ambayo kwa sasa ni meaningless
 
Ukiangalia picha hii utaona kuna watu wenye mwonekano wa kibinadamu wakipuliza tarumbeta huku wakiwa na mabawa (wings) makubwa kwa pembeni.

Swali ,je malaika hawa wana mabawa kama maandiko yasemavyo?

Je bila hayo mabawa hawawezi kuruka ama kupaa hivyo kupoteza cheo cha malaika?

Je kama mabawa kwa malaika yana kazi ya kupaa mbona YESU KRISTO aliweza kupaa kwenda kwa MUNGU baada ya kufufuka kaburini akiwa hana mabawa.

Are the angels real have wings...????

Au ni portrayal language tu kuelezea uwezo wao wa kupaa kama ndege.

Tujadili

View attachment 1746151
Not always malaika wana mabawa!
Na wala hawafungwi na kanuni za fizikia kuwa lazima wawe na mabawa ili waweze kupaa.

Kwa mujibu wa Biblia, Maria Magdalena alimwona kijana (malaika) akiwa amekaa juu ya jiwe mara baada ya Yesu kufufuka.
Malaika huyu hakuwa hata na mabawa, alionekana kama binadamu wa kawaida tu.

Katika kitabu cha Ufunuo 14:6, hapa tunaona malaika akipaa, bila shaka alikuwa na mabawa.

Then I saw another angel, flying directly overhead...

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Sijaona malaika siku za karibuni, ila sidhani kama wana haja ya kua na mabawa. Walioandika vitabu vitakatifu mara nyingi walikua wanafanya reference ya vitu vilivyopo kwa wakati huo ndio maana kuna sehemu wametaja farasi, magari ya kukokotwa na farasi nk kwamba yapo mbinguni.

Ingekua biblia inaandikwa sasa hivi, lazima kuna sehemu labda Mungu angempigia simu Musa kumpa maelekezo, au Yuda iskarioti angenaswa na kamera za cctv akipokea mlungula nk. Pia lazma wanafunzi wa Yesu wangekua na group la whatsapp.
Duh! Umeua mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hio point uliyo iweka hapo sijui kwanini waumini wengi ni ngumu kuielewa

Ukisoma Biblia,kama vilivyo vitabu vingine vya dini,ni wazi kuwa viliandikwa na binadam kulingana na ustaraabu na maarifa ya wakati huo

Idea ya malaika kuwa na mabawa,probably ilikua hivi

Kwakua malaika ilibidi wapae,kwa wakati huo walikua wanaamini kitu pekee kinachoweza kupaa ni chenye mabawa,so walipokuja na dhana ya malaika ilibidi wawape mabawa ili wawe consistent na maarifa ya wakati huo

Huyu malaika anapaa kutoka mbinguni kuja duniani,japo hatujui location ya "mbinguni" ila tunajua kuwa katikati ya "mbinguni" na "duniani" kuna ombwe tupu (empty space)

Hapa dhana ya malaika wenye. Mabawa haingii akilini tena kwa sababu kwenye space hakuna hewa ya "kupush back"

Hata ukiangalia dhana ya Mungu kulindwa na kundi la malaika wengi waliitoa kwenye ustaraabu wa wakati ule ambapo mfalme alilindwa na askari wengi

Hata ukiangalia mji wa yerusalem mpya ulivyoelezewa,utaona hawakua na ujanja wa kufikiria tofauti zaidi ya kutumia dhana ile ile ya miji ya wakati huo iliyokua ikizungukwa na kuta kila upande kama mipaka na ulinzi

Biblia,na vitabu vya dini kama vingekua inspired na Mungu,visingekua limited na maarifa ya wakati ule ambayo kwa sasa ni meaningless
Umenena vyema sana.
 
"... Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka. ..."
ISAYA 6:2

"Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko , kuilinda njia ya mti wa uzima." MWANZO 3:24.

"... na juu yake Makerubi ya utukufu, yakikitia kivuli kiti cha rehema; ..."
WAEBRANIA 9:5.

Malaika wako madaraja mbalimbali. Daraja la juu kabisa la malaika ni Maserafi na Makerubi. Hawa ndio wako karibu kabisa na Kiti cha Enzi cha Mungu. Wamekizunguka kiti hichi.

Kuna malaika wengine wengi wasio na idadi wakifanya shughuli mbalimbali za kusujudu na utumishi. Kwa mfano kwenye Kitabu cha Waebrania malaika wameelezwa hivi: "Je, Hao wote si roho watumikao, waitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?" WAEBRANIA 1:14.

Malaika ni viumbe wa kiroho. Hawana umbo maalumu (ambalo halibadiliki) wanaweza wakavaa mwili wowote. Mfano kuna malaika wawili walitumwa kwa ajili ya kuchoma Sodoma na Gomora, hawa walikuwa na umbile la mwanadamu kabisa. Hawakuwa na mabawa. (SOMA KITABU CHA MWANZO 19:1-22.)

Ndugu zangu, mambo ya rohoni hujulikana kwa namna ya rohoni. Akili ya mwanadamu haiwezi kuyajua mambo ya rohoni. Ni lazima tuwe rohoni ili tuyaone na kuyajua ya rohoni. Hatua ya kwanza ya kuishi maisha ya rohoni ni KUMPA YESU MAISHA YAKO, ILI AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO. Huku huitwa kuzaliwa mara ya pili. Hapa ndipo mtu huanza kuongozwa na Roho wa Mungu ambapo huanza kufunuliwa na Roho Mtakatifu mambo ya ndani sana ya Mungu. Hata mafumbo ya Mungu.
"Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu"
1WAKORINTHO 2:10.

hakika YESU NI MWOKOZI.
Ninaunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom