Wakuu tuweni wa kweli tu
Huyu mama yake diamond ingawa anawezeshwa kwa kiasi kikubwa na mtoto wake ili na yeye awepo kwenye chati lakini wapi
Muonekano wake wa kimaskini bado haujamuisha na bado ana mambo ya kiuswazi yale ya tandale bado yapo damuni
Huwa nawaza kama hapo ana pesa muonekano wake upo hivyo ,je kipindi alipokuwa maskini hali yake ilikuaje?
Hapa ndio napata fundisho kuwa elimu ndio kila kitu maishani ,ikumbatie elimu usiiache iende zake
Kwa kuthibitisha hilo waangalie wamama ambao wameenda shule lakini kipato chao sio kikubwa kama cha mama diamond lakini wakisimama wao ndio wanaonekana na muonekano mzuri kuliko mama diamond
Na nina uhakika siku diamond akitoweka duniani ,huyu mama hatosikika tena kwa kuwa anapata jina kwa mgongo wa mwanawe