Hivi mama yake Diamond anajua kiingereza?

Hivi mama yake Diamond anajua kiingereza?

John tu kizungu cha ugoko lakini anasomesha namba bila tatizo. Bongo kizungu wanaongea Wahaya tu, tena wakilewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pagan pambaf wewe nimecheka sanaaa
 
Wabongo wengi tunaongea kingereza cha kuelewana wenyewe na tunakuwa tunajiamini sana na kutulia tukikimwaga cha malkia ila akija mwenye lugha yake sijui huwa kinapeperukia wapi ? mtu jasho linamtoka penye usaili huku kung-fu si kung-fu choir master si choir master basi tafrani mtu alitoka penye interview hoi kuliko wale makuli wanaotoa lumbesa ya nazi kutoka soko dogo la nazi kupeleka kisutu .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio maana nikimisi jf siku inakuwa ndefu
 
Ofcourse people used to die in the in the in the in the in zee in de moniee in the Rake
 
Wakuu tuweni wa kweli tu

Huyu mama yake diamond ingawa anawezeshwa kwa kiasi kikubwa na mtoto wake ili na yeye awepo kwenye chati lakini wapi

Muonekano wake wa kimaskini bado haujamuisha na bado ana mambo ya kiuswazi yale ya tandale bado yapo damuni


Huwa nawaza kama hapo ana pesa muonekano wake upo hivyo ,je kipindi alipokuwa maskini hali yake ilikuaje?


Hapa ndio napata fundisho kuwa elimu ndio kila kitu maishani ,ikumbatie elimu usiiache iende zake


Kwa kuthibitisha hilo waangalie wamama ambao wameenda shule lakini kipato chao sio kikubwa kama cha mama diamond lakini wakisimama wao ndio wanaonekana na muonekano mzuri kuliko mama diamond


Na nina uhakika siku diamond akitoweka duniani ,huyu mama hatosikika tena kwa kuwa anapata jina kwa mgongo wa mwanawe
hebu acha ujinga wako kumjadili mtu yoyote anaeitwa , yaani umekosa vya kuandika hadi unamtusi hivyo huyo mama
 
John tu kizungu cha ugoko lakini anasomesha namba bila tatizo. Bongo kizungu wanaongea Wahaya tu, tena wakilewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom