ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Uko vizuri kwenye research methodology yaani ukilewa hata kichina kinakuja.John tu kizungu cha ugoko lakini anasomesha namba bila tatizo. Bongo kizungu wanaongea Wahaya tu, tena wakilewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vizuri kwenye research methodology yaani ukilewa hata kichina kinakuja.John tu kizungu cha ugoko lakini anasomesha namba bila tatizo. Bongo kizungu wanaongea Wahaya tu, tena wakilewa
HahahaaaaaJohn tu kizungu cha ugoko lakini anasomesha namba bila tatizo. Bongo kizungu wanaongea Wahaya tu, tena wakilewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]John tu kizungu cha ugoko lakini anasomesha namba bila tatizo. Bongo kizungu wanaongea Wahaya tu, tena wakilewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio maana nikimisi jf siku inakuwa ndefuWabongo wengi tunaongea kingereza cha kuelewana wenyewe na tunakuwa tunajiamini sana na kutulia tukikimwaga cha malkia ila akija mwenye lugha yake sijui huwa kinapeperukia wapi ? mtu jasho linamtoka penye usaili huku kung-fu si kung-fu choir master si choir master basi tafrani mtu alitoka penye interview hoi kuliko wale makuli wanaotoa lumbesa ya nazi kutoka soko dogo la nazi kupeleka kisutu .
Jf ina burudisha na kufundisha pia pamoja sana ndugu yangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio maana nikimisi jf siku inakuwa ndefu
Ndio kazi ya maskini kumjadili tajiriWakuu tunabishana hapa eti mama yake Diamond anajua kuongea kiingereza?
hebu acha ujinga wako kumjadili mtu yoyote anaeitwa , yaani umekosa vya kuandika hadi unamtusi hivyo huyo mamaWakuu tuweni wa kweli tu
Huyu mama yake diamond ingawa anawezeshwa kwa kiasi kikubwa na mtoto wake ili na yeye awepo kwenye chati lakini wapi
Muonekano wake wa kimaskini bado haujamuisha na bado ana mambo ya kiuswazi yale ya tandale bado yapo damuni
Huwa nawaza kama hapo ana pesa muonekano wake upo hivyo ,je kipindi alipokuwa maskini hali yake ilikuaje?
Hapa ndio napata fundisho kuwa elimu ndio kila kitu maishani ,ikumbatie elimu usiiache iende zake
Kwa kuthibitisha hilo waangalie wamama ambao wameenda shule lakini kipato chao sio kikubwa kama cha mama diamond lakini wakisimama wao ndio wanaonekana na muonekano mzuri kuliko mama diamond
Na nina uhakika siku diamond akitoweka duniani ,huyu mama hatosikika tena kwa kuwa anapata jina kwa mgongo wa mwanawe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]John tu kizungu cha ugoko lakini anasomesha namba bila tatizo. Bongo kizungu wanaongea Wahaya tu, tena wakilewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Diamond alifundishwa na Wema mama yake atakuwa amefundishwa na Zari hivyo anajua kizungu