Hivi mama yake Diamond anajua kiingereza?

Hivi mama yake Diamond anajua kiingereza?

Chicken head


Nimesema hapa tunabishana kwamba mama dayamondi anajua kizungu au hajui sasa huyo zari kujua au kutojua kiswahili ameingiaje humu



Nyie ndio vilazaaa mnaulizwa swali A mnajibu B


Kizungu kipi?
Kifaransa, kijerumani, kireno, kiitaliano??
Fafanua tukusaidie kumuuliza.
 
Sio maskhara ndugu yangu wengi wetu mbwembwe nyingi ukikutana na wenye lugha yao hapo sasa sentensi moja the kama kumi hivi yaani the inageuka kama gia ya kutafutia neno linalofuatia .

hahahahhahaha haupo mwenyewe, ila ukiongea na mbongo mwingine anaweza akadhania ndo umeshuka kutoka marekani.
 
atakuwa anakijua maana pale WCB kuna darasa maalumu kwa ajili ya kujifunzia kiingereza
 
Wakuu tuweni wa kweli tu

Huyu mama yake diamond ingawa anawezeshwa kwa kiasi kikubwa na mtoto wake ili na yeye awepo kwenye chati lakini wapi

Muonekano wake wa kimaskini bado haujamuisha na bado ana mambo ya kiuswazi yale ya tandale bado yapo damuni


Huwa nawaza kama hapo ana pesa muonekano wake upo hivyo ,je kipindi alipokuwa maskini hali yake ilikuaje?


Hapa ndio napata fundisho kuwa elimu ndio kila kitu maishani ,ikumbatie elimu usiiache iende zake


Kwa kuthibitisha hilo waangalie wamama ambao wameenda shule lakini kipato chao sio kikubwa kama cha mama diamond lakini wakisimama wao ndio wanaonekana na muonekano mzuri kuliko mama diamond


Na nina uhakika siku diamond akitoweka duniani ,huyu mama hatosikika tena kwa kuwa anapata jina kwa mgongo wa mwanawe
 
Upumbavu wa mtanzania ni kujua kingereza utafikiri kingereza ni lugha yako ya taifa mambo yakujua kingereza yamechangia kuzalisha wavivu kwenye Taifa watu hawataki kufanya kazi wanachagua kazi kisa anajua kingereza . waziri mkuu wa China hajui kingereza lakini wanaendesha nchi vizuri.
 
Magufuli turudishie tu mikutano ya hadhara ili tuwe tunaenda kupotezea muda huko. Daaah!
 
Anajua kingereza kwani Wewe Hujui Kiindi au kichina mbona wakiongea unajua wameongea kichina au Kiindi.
 
Back
Top Bottom