Hakika [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]Kwani mambo yote hukataliwa au kukubaliwa kwa kura?Mijadala kama hii ni sehemu ya kukataa au kukubali vitu kama hivyo.Hawa akina mama wa siku hizi Mmmmm!!!na hii misimamo yetu ya kusema kila mtu aachwe afanye ayapendayo ndo imepelekea visa vya akinamama kuolewa na watoto wao wa kuzaa au akinababa kuzaa na binti zao.
Kwani mambo yote hukataliwa au kukubaliwa kwa kura?Mijadala kama hii ni sehemu ya kukataa au kukubali vitu kama hivyo.Hawa akina mama wa siku hizi Mmmmm!!!na hii misimamo yetu ya kusema kila mtu aachwe afanye ayapendayo ndo imepelekea visa vya akinamama kuolewa na watoto wao wa kuzaa au akinababa kuzaa na binti zao.
Mtume alijiheshimu bana hata mke wake alikuwa aonekani hovyo,ka vipi weka picha ya mtume kambeba mbaby wake.Hakuna tatizo kabisa kabisa,ili mradi tu wenyewe wamekubaliana na kuridhika kwa kila mmoja wao ni sahihi.
Huyo mama ni muislamu na waislamu wote role modal wao ni mtume Muhammad SAW.
Mtume alioa mke wake wa kwanza wakitofautiana kwa umri wa miaka 20 kati yao,mtume alikuwa na umri wa miaka 20 na mke akiwa na miaka 40.
Hongera sana mama diamond
Mtume alijiheshimu bana hata mke wake alikuwa aonekani hovyo,ka vipi weka picha ya mtume kambeba mbaby wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137].Nimecheka saaaanaJamii ilianza kukosea pale iliporumhusu kenge mmoja kuimba wimbo wa kijinga; "[emoji443] Nakupenda bibi kizee,nakupenda kikongwe [emoji445]...". I don't remember the name of that bullshit,lakini ndo aliyetuletea huu ujinga.
Ujinga wowote huja kwa njia ya nadharia (theory) kama nyimbo,hadithi,maigizo,n.k na baadae watu huanza kufanyakweli (practice).
Smartphone ni nini kwa mtume,akisema piga picha inajipiga kwa miujiza.Alikua na smart phone?
Smartphone ni nini kwa mtume,akisema piga picha inajipiga kwa miujiza.
Mkuu Hornet, kwahiyo kama jambo haliniathiri moja kwa moja ila ni janga kwa jamii nipige kimya?OK ndio maana nyie wa kwenye miji mikubwa unaweza kuona mtu anaibiwa live na usitoe msaada kwavile si wewe unayeibiwa.Wakiolewa wanakupunguzia nini?
Why are you so bothered?
Insanity ndiyo nini,kimalkia kinanizingua.Insanity
SI mnawavulia nguo!! wafanyeje ssUna maanisha kuwa mapenzi hayana rika sio?. Kwa hiyo si vibaya mama zetu kulala na vijana wa rika letu sio?