Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Kwani mambo yote hukataliwa au kukubaliwa kwa kura?Mijadala kama hii ni sehemu ya kukataa au kukubali vitu kama hivyo.Hawa akina mama wa siku hizi Mmmmm!!!na hii misimamo yetu ya kusema kila mtu aachwe afanye ayapendayo ndo imepelekea visa vya akinamama kuolewa na watoto wao wa kuzaa au akinababa kuzaa na binti zao.
Hakika [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]
 
Ajitahidi Sasa Azae Tu Ili Huyo Jamaa Awe Kazi Kaifanya Na Imeonekana
 
Kwani mambo yote hukataliwa au kukubaliwa kwa kura?Mijadala kama hii ni sehemu ya kukataa au kukubali vitu kama hivyo.Hawa akina mama wa siku hizi Mmmmm!!!na hii misimamo yetu ya kusema kila mtu aachwe afanye ayapendayo ndo imepelekea visa vya akinamama kuolewa na watoto wao wa kuzaa au akinababa kuzaa na binti zao.

Wakiolewa wanakupunguzia nini?
Why are you so bothered?
 
Uswahilini hawaoni Shida.. Ila Wewe uliye na Malezi tofauti na Ya Uswahilini utapata Shida Kukubaliana
 
Jamii ilianza kukosea pale iliporumhusu kenge mmoja kuimba wimbo wa kijinga; "🎼 Nakupenda bibi kizee,nakupenda kikongwe 🎶...". I don't remember the name of that bullshit,lakini ndo aliyetuletea huu ujinga.

Ujinga wowote huja kwa njia ya nadharia (theory) kama nyimbo,hadithi,maigizo,n.k na baadae watu huanza kufanyakweli (practice).
 
Hakuna tatizo kabisa kabisa,ili mradi tu wenyewe wamekubaliana na kuridhika kwa kila mmoja wao ni sahihi.
Huyo mama ni muislamu na waislamu wote role modal wao ni mtume Muhammad SAW.
Mtume alioa mke wake wa kwanza wakitofautiana kwa umri wa miaka 20 kati yao,mtume alikuwa na umri wa miaka 20 na mke akiwa na miaka 40.
Hongera sana mama diamond
Mtume alijiheshimu bana hata mke wake alikuwa aonekani hovyo,ka vipi weka picha ya mtume kambeba mbaby wake.
 
Jamii ilianza kukosea pale iliporumhusu kenge mmoja kuimba wimbo wa kijinga; "[emoji443] Nakupenda bibi kizee,nakupenda kikongwe [emoji445]...". I don't remember the name of that bullshit,lakini ndo aliyetuletea huu ujinga.

Ujinga wowote huja kwa njia ya nadharia (theory) kama nyimbo,hadithi,maigizo,n.k na baadae watu huanza kufanyakweli (practice).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137].Nimecheka saaaana
 
Wakiolewa wanakupunguzia nini?
Why are you so bothered?
Mkuu Hornet, kwahiyo kama jambo haliniathiri moja kwa moja ila ni janga kwa jamii nipige kimya?OK ndio maana nyie wa kwenye miji mikubwa unaweza kuona mtu anaibiwa live na usitoe msaada kwavile si wewe unayeibiwa.

Tatizo letu sisi wa interior tunaamini katika collective responsibility na reciprocity,ambavyo ninyi mlioendelea hamuamini.Fine,leo nimejifunza kitu;nikimkuta binti wa shule wa Hornet kabananishwa na limbaba kwenye angle mbaya I should not bother na jambo hill ambalo halinipunguzii chochote.
 
Nilipoona Mange hapo nikajua labda umeweka ile picha ya Mange yupo sweeming pool na chupi mbele ya Watoto wake, then ndio ukahoji ulichohoji.
 
Mama alikaribia kuingia kwenye kifo akiwa fukala sasa mwanae kamuokoa anatamani ku renew umri aisee. HII INAITWA PATA HELA TUKUJUE TABIA ZAKO
 
Back
Top Bottom