Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,683
- 3,349
- Thread starter
- #61
Hakika [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]Kwani mambo yote hukataliwa au kukubaliwa kwa kura?Mijadala kama hii ni sehemu ya kukataa au kukubali vitu kama hivyo.Hawa akina mama wa siku hizi Mmmmm!!!na hii misimamo yetu ya kusema kila mtu aachwe afanye ayapendayo ndo imepelekea visa vya akinamama kuolewa na watoto wao wa kuzaa au akinababa kuzaa na binti zao.