Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha saaana.Kila tukionacho twakichukulia poa na kukihalalisha.Mkuu Hornet, kwahiyo kama jambo haliniathiri moja kwa moja ila ni janga kwa jamii nipige kimya?OK ndio maana nyie wa kwenye miji mikubwa unaweza kuona mtu anaibiwa live na usitoe msaada kwavile si wewe unayeibiwa.
Tatizo letu sisi wa interior tunaamini katika collective responsibility na reciprocity,ambavyo ninyi mlioendelea hamuamini.Fine,leo nimejifunza kitu;nikimkuta binti wa shule wa Hornet kabananishwa na limbaba kwenye angle mbaya I should not bother na jambo hill ambalo halinipunguzii chochote.
Hata hicho alichokifanya Mange kwenye jamii yetu ya kitanzania haikubaliki.Ila kule aliko inakubalika.Nilipoona Mange hapo nikajua labda umeweka ile picha ya Mange yupo sweeming pool na chupi mbele ya Watoto wake, then ndio ukahoji ulichohoji.
Tatizo kwa huyu mama ni moja tu,kuposti mambo yake na mumewe kwenye mitandao.
Lakini mengine ayafanyayo yeye na mume wake wanapokuwa faragha kama vile kubebana,kulishana,kubusiana n.k. ni vitu sahihi kabisa.
mapenzi na mahaba hayana umri,
Angefanya Mengi kwa K-Lyn mngesema babu Reg anajua kucare vijana tutafute pesa na sisi tuje kuishi km mzee Reg MengiWatanzania wengi ni malimbukeni hapa duniani. Tulitakiwa tuishi kwanza kwenye sayari ya Mars kabla hatujaletwa huku.
Huyo mama ni moja kati ya wanawake wapumbavu kuwahi kuwashuhudia katika wiki chache za hivi karibuni.
Natambua juhudi za Diamond katika kuhakikisha mama yake anapata maisha aliyotamani ila mama hajielewi.
hahahaaaHivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?.Au sisi vijana tunawaonaje mama zetu?.Fikiria kuwa wewe ni msanii mkubwa maarufu halafu mama yako yuko hivi.AU TUKUBALIANE TUU NA WAKATI?View attachment 957741
Na nani?Mama kabebwa...
Huyo anaeishi na mama...Na nani?
Anaweza pigwa mimba ....Inaelekea Mama Diamond alikuwa anamiss sana Ze dudu manake mpaka amekuwa limbukeni sasa. Muda si mrefu tu mtasikia naye katoa sinema ya ngono, subirini tu....huyu Mama si salama kichwani.
Mkuu ni ulimbukeni wa mambo watu wanaoona kwenye Internet. Watu wanahamisha kila kitu wanachoona na ku copy. Mishipa ya aibu imekatika kwa wengi siku hizi.Inaelekea Mama Diamond alikuwa anamiss sana Ze dudu manake mpaka amekuwa limbukeni sasa. Muda si mrefu tu mtasikia naye katoa sinema ya ngono, subirini tu....huyu Mama si salama kichwani.
Ni kama kumpa kichaa bunduki...Aliyemfungulia account ig huyu maza ndo aliharibu kila kitu..
Mkuu ni ulimbukeni wa mambo watu wanaoona kwenye Internet. Watu wanahamisha kila kitu wanachoona na ku copy. Mishipa ya aibu imekatika kwa wengi siku hizi.