Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Usikute maam bado yupo vizur anaenda dk90 bila shida!! Mixa cone namna ile pale
 
Vijana wangu, mama zenu tunawabeba pia, tofauti yetu ni kwamba tunawabebea chumbani nyie hamuwaoni.
 
Mkuu Hornet, kwahiyo kama jambo haliniathiri moja kwa moja ila ni janga kwa jamii nipige kimya?OK ndio maana nyie wa kwenye miji mikubwa unaweza kuona mtu anaibiwa live na usitoe msaada kwavile si wewe unayeibiwa.

Tatizo letu sisi wa interior tunaamini katika collective responsibility na reciprocity,ambavyo ninyi mlioendelea hamuamini.Fine,leo nimejifunza kitu;nikimkuta binti wa shule wa Hornet kabananishwa na limbaba kwenye angle mbaya I should not bother na jambo hill ambalo halinipunguzii chochote.
Inasikitisha saaana.Kila tukionacho twakichukulia poa na kukihalalisha.
 
Nilipoona Mange hapo nikajua labda umeweka ile picha ya Mange yupo sweeming pool na chupi mbele ya Watoto wake, then ndio ukahoji ulichohoji.
Hata hicho alichokifanya Mange kwenye jamii yetu ya kitanzania haikubaliki.Ila kule aliko inakubalika.
 
Tatizo kwa huyu mama ni moja tu,kuposti mambo yake na mumewe kwenye mitandao.
Lakini mengine ayafanyayo yeye na mume wake wanapokuwa faragha kama vile kubebana,kulishana,kubusiana n.k. ni vitu sahihi kabisa.
mapenzi na mahaba hayana umri,


Ni kweli ila nani mwenye akili timamu anataka kumuona Mama Diamond anabebwa au anabusuliwa? Kwa akili yake, usikute kakasirika kwanini watu hawamsifii na atakuja na video yake ya ngono ili asifiwe na kumkasirisha baba Diamond.
 
Hayo ndio maisha waliyojichagulia, maadam hawavunji sheria yoyote ile ya nchi ni kuwaacha kama walivyo, hayo ni maisha yao,maisha ni mafupi mno, tunaishi mara moja tu wacha watu wajipe raha.
 
Watanzania wengi ni malimbukeni hapa duniani. Tulitakiwa tuishi kwanza kwenye sayari ya Mars kabla hatujaletwa huku.

Huyo mama ni moja kati ya wanawake wapumbavu kuwahi kuwashuhudia katika wiki chache za hivi karibuni.

Natambua juhudi za Diamond katika kuhakikisha mama yake anapata maisha aliyotamani ila mama hajielewi.
Angefanya Mengi kwa K-Lyn mngesema babu Reg anajua kucare vijana tutafute pesa na sisi tuje kuishi km mzee Reg Mengi
Screenshot_20181207-061903.png
......
Na hapa kwa mwenyekiti sijui una lipi la kusema?
Screenshot_20181207-062311.png
....Hell on Earth usiwapangie watu jinsi ya kuishi,"we live once" let them enjoy their moment as long as hawavunji sheria za nchi wala kukunyima wewe usingizi,wala kuathiri shughuli zako za kuwatafutia wanao ubwabwa,we have to learn how to mind our own biznez
 
Inaelekea Mama Diamond alikuwa anamiss sana Ze dudu manake mpaka amekuwa limbukeni sasa. Muda si mrefu tu mtasikia naye katoa sinema ya ngono, subirini tu....huyu Mama si salama kichwani.
Mkuu ni ulimbukeni wa mambo watu wanaoona kwenye Internet. Watu wanahamisha kila kitu wanachoona na ku copy. Mishipa ya aibu imekatika kwa wengi siku hizi.
 
Mkuu ni ulimbukeni wa mambo watu wanaoona kwenye Internet. Watu wanahamisha kila kitu wanachoona na ku copy. Mishipa ya aibu imekatika kwa wengi siku hizi.


Ila huyu Mama ana yake, nafikiri anafanya makusudi kumtia wivu na nyege za uzeeni baba Diamond kumuonyesha kuwa hajuwi kupenda. Mara ajipige picha kashikwa tigo upande mmoja, mara analamba koni ya ice cream huku ulimi wote uko nje kana kwamba analamba koni la kibenten wake. Anaboa sana huyu Mama.
 
Back
Top Bottom