Kabla ya Mwaka 1948, hakukuwahi kuwa na Taifa llililoitwa Israel. Sasa unapoandika Daudi(Israel) kisha unaandika Zakaria(Israel) sijui unamaanisha nini.
Israel au Israil ni jina alilopewa Nabii Yakub/Yakobo likimaanisha Mja wa Mwenyzi Mungu. Na ukisema Wana wa Israel/ au Bani-Israil unamaanisha Watoto wa Mja wa Mwenyezi Mungu ambaye ndio huyo Yakobo ambaye alikuwa na wanawe 12(Ndio hayo makabila 12). Nchi ilikuwa inaitwa Palestina, na majina Mengine ya kale yaliyotumika.
Mwaka 1948, kuna Wahuni fulani kutoka Europe hapo wakajichanganya katikati ya Wayahudi wa kweli na kuchukua Ardhi hiyo ya Palestina na kujimegea ardhi na kuiita Israel. Kuiita sehemu ya Ardhi waliyopewa na Umoja wa Mataifa Israel halikuwa jambo baya kwamaana mwaka huo wayahudi wa kweli walikuwepo na wale wa mchongo waliokuwa na nia ovu walikuwepo.
Mpaka leo pale Israeli Wayahudi wa Kweli au Wana wa Israel wa kweli wapo ambao wao hawashiriki vita, wapo kwenye Mahekalu kuabudu wakiwa na MaRabi wao, wao ni kusoma Torati na Kuhubiri tu na hawashiriki kwenye hili vuguvugu la Zionist na wakina Netanyahu. Dini inawakataza kabisa kufanya Vita.
Ila kwakuwa wapo na wa michongo pia ndani ya Israel miongoni mwao ni Hazar/Ashkenaz ndio hawa baadhi yao akina Netanyahu na genge lake wanaofanya siasa za Kizayuni(Zionism) za kuhakikisha wanaua binadamu wenzao kwa Maslahi yao binafsi. Wewe umewahi kusikia Netanyahu na genge lake wamefanya ibada hata ya kumkumbuka Mungu, hakuna wale ni Wapinga Kristo, wananuka damu za watu.
Kwa kifupi pale Israel kuna Mtu mbili ndani ya Track 1. Nchi ni Moja lakini Mitazamo ya Wayahudi wa kweli na wale waliochomekwa chomekwa humo ni tofauti. Watu wengi hukosea kusema Wayahudi woote waliopo pale ni wa Mchongo. Si lazima utajiuliza kwamba wayahudi wa kweli wako wapi. Wayahudi wa kweli wako pale pale wanashinda kwenye Mahekalu waumini na wachungaji wao au Marabi, ndio hao tuseme tuwaite makuhani wanaozishikilia torati na kufundishana
Historia ya wayahudi wa kweli na kiuhalisia sio ya kupigana vita. Mfano walikuwa utumwani Misri, hakupigana vita bali ni Mungu aliwaokoa kupitia Musa. Waliwahi kuwa chini ya dola la Wagiriki lakini hawakupigana nao bali lilikuja dola lingine lililotaka maeneo wakapambana na wagiriki na Wayahudi kujikuta wako katika dola lingine tu wakitawaliwa. Mpaka kipindi cha Yesu walikuwa chini ya Dola la Roma, wala wao hawakupigana na Waroma bali dola ya Roma ilifurumushwa na dola lingine akina Ottoman huko. Katika kipindi chote hicho Wayahudi walikuwa wanadeal na Mambo ya Dini tu.
Vita vilivyotengenezwa kinafiki ndani ya Bible ni kati ya Wayahudi na Wafilisti au wengine wanaforce kuwaita Wapalestina. Huu ni unafiki. Wayahudi wameteseka sana kutoka kwenye dola nyingi kwanini itengenezwe wao na Wapalestina tu. Akili kumkichwa. Tena watu wanaenda mbali kwa kusema hii vita haitaisha mpaka Kiama, huu ni uhuni wa Kiwango cha SGR, ni vile kuna Mataifa makubwa wana nia na Rasilimali za pale Mashariki ya kati, hivyo wanatumia Mgongo wa Biblia kuhalalisha Uuaji, Ubakaji na kuibiana Maeneo. Maana Tarmudi za hawa Wayahudi wengine wa Mchongo pale Israel zina ruhusu hadi Kubaka.
Aibub itakuja kuwa kwao one day.