Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

Kuna kitu nashindwaga kuelewa kuhusu manabii na mitume wote wazamani
Ukisikiliza ndugu zetu waislam wanasemaga manabii wengi walikuwa waarabu
Mfano ni video fulani ambayo niliona kwenye YouTube Chanel ya kislam inasema manabii wengi walikuwa waarabu
Kutokana na video hiyo ni ivi
Adam ( sir lank )
Nooh: (Jordan )
Idris (iraq)
Hud ( yemen)
Saleh ( lebanon)
Musa ( egypte)
Ibrahim ( iraq)
Rutu ( lebanon )
Ismael ( South Arabic)
Isaka ( Palestine)
Yousuph( palestina)
Yahup ( palestina )
Ayubu ( Syria)
Suleman ( israel )
Ahabu ( syria)
Daudi ( israel )
Elia ( Jordan)
Yona ( iraq)
Zakaria ( israel )
Jesus ( palestina )
Hao ni baadhi tu kulingana na list hiyo inawezekana most of prophets hawakuwa wayahudi bali walikuwa waraabu 😀😃🤪😝
Sri Lanka 😂😂😂😂
 
Tuulize wasomi wa kiislamu achana na maneno ya vijiweni kijana, waarabu na wayahudi ni watoto wajuzi kuna watu waliishi hapa duniani bila kuwa hao mfano Nuhu n.k
 
Kwa Mujibu wa habari ndani ya biblia zinasena Daudi alikuwa Mfalme wa Israeli ya kale. Sasa tujiulize kabla ya kuwa Mfalme wa Israel ya Kale, Je, eneo hilo lilikuwa linaitwaje?
Kulikuwa na wenyeji pale wale wayahudi ni wavamizi tu sio asili yao pale
 
Waisrael wa kale walikuwa weusi kwahiyo hata mitume walikuwa weusi, hawakuwa Waarabu wala wazungu
 
Kama wote tumetokea kwa Adamu, Sisi tumetokea kwa nabii gani hapo?
 
Back
Top Bottom