Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

Sri Lanka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuulize wasomi wa kiislamu achana na maneno ya vijiweni kijana, waarabu na wayahudi ni watoto wajuzi kuna watu waliishi hapa duniani bila kuwa hao mfano Nuhu n.k
 
Kwa Mujibu wa habari ndani ya biblia zinasena Daudi alikuwa Mfalme wa Israeli ya kale. Sasa tujiulize kabla ya kuwa Mfalme wa Israel ya Kale, Je, eneo hilo lilikuwa linaitwaje?
Kulikuwa na wenyeji pale wale wayahudi ni wavamizi tu sio asili yao pale
 
Waisrael wa kale walikuwa weusi kwahiyo hata mitume walikuwa weusi, hawakuwa Waarabu wala wazungu
 
Kama wote tumetokea kwa Adamu, Sisi tumetokea kwa nabii gani hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…