Hivi Managers wa kiume mkoje?

1. Ndugu yetu ndio kamtafutia
2.Ndio anatabia yakuwapenda wadada weupe wenye chura mdogo wangu analo lakushiba tu na nimzuri anaasili fulani hivi mnazijua .
3.amejaribu kuongea na baadhi ya watu wakamwambia nilazima atoe au ataondoka hapo.
4.Ila mimi nitampa tu makavu siku sio nyingi.
 
Mkomeshe. Mnyime na umpevmmiliki...halafu mwambie meneja anakutaka...[emoji38][emoji28][emoji1787]
Ngoja nikuambie kitu mie nitampa makavu tu tegesho la hatari nje muda sio mrefu mie ndio takukuru when you want to be ahead of a lady a lady she will show you that she is clever .
Alitukuta mjini na tutamalizana kimjini.
 
Ila nitamtokelezea
 
Fanyeni set up tu takukuru waruke nae.

Ila uwe unaomba dua kwa imani yako maana huyo takokuru 'asiwahiwe' na Meneja ukakuta manyoya ukabaki kusema "hapo chacha".
 
Mi muda pekee naitwa meneja ni ninapocheza Master League kwenye PES au Career mode kwenye FiFa je na mimi nahusika humu?
Mkuu umefanya siku yangu iishe vyema hahahaha nimekumbuka jinsi tunavyosajili na jina kabisa hahahaha ngoja nitafute muda nirudi kwenye FIFA
 
Wewe mwenye mdogo mleta uzi wewe ni mtu mzima unamsifia mdogo ana chura la nguvu! Mshauru tu ampe japo aonje, unaweza kuta hata ladha halina kabebana nalo anadhani deal.

Au wewe kampe manager umkate kiu, kwa niaba ya huyo mwenye chura la haja.

Hayo mavyura mgekuwa mnaweza kuya invest mkawa mbalipwa liba sawa, lakini unakuta mmebebana nayo halafu hayawasaidii chochote.

Angempa manager labda hata angepewa kazi rahisi inayoendana na shule yake.

Unamnyima manager halafu bosaboda anapewa, tumua likufaidishe.

Takukuru ukimpa deal atamtisha manager halafu naye ataizungukia anakula mzigo.
Hiyo ndiyo kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…