katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
- #61
1. Ndugu yetu ndio kamtafutiaSina uhakika lkn nahisi hii thread haijakamilika. Nna swali kwa huyo mdogo wako, umesema huu ni mwezi 6 sasa Manager anamtaka je huyo Manager anamtolea vitisho akiwa kazini? Pia kabla hajapata kazi je aliombwa rushwa ya ngono na huyo Manager? Je Manager anaweza kua na mahusiano na wafanyakazi walio chini yake? Hapo ni kwa ridhaa zao au wanafanya mahusiano kwa makubaliano ya upendeleo kazini. Nijibu hayo' Nachoshauri kwasasa hatakiwi kuacha kazi ila afanye uchunguzi na kuomba ushauri kwa watu anao waamini kwa mawazo yao kwa maana Takukuru lazima kuwe na ushahidi wa mtendwaji kulazimishwa kitendo icho.
2.Ndio anatabia yakuwapenda wadada weupe wenye chura mdogo wangu analo lakushiba tu na nimzuri anaasili fulani hivi mnazijua .
3.amejaribu kuongea na baadhi ya watu wakamwambia nilazima atoe au ataondoka hapo.
4.Ila mimi nitampa tu makavu siku sio nyingi.