Hivi Managers wa kiume mkoje?

Hivi Managers wa kiume mkoje?

PCCB wakafanye nini ? Kutongoza ni haki ya kila mtu. Kuna mwanamke anafukuzia hadi miaka miwili.. mwaka wa nne ndio anakubali.. Manager kaamua kukomalia mzigo. Ingekuwa labda binti anaambiwa atoe uch.i ndio apewe kazi hiyo ni tushwa moja kwa moja..
Weweee acha hizo bhana bado mdogo ni 22 tu eti
 
Akienda huko anaweza yoyote akamtaka. Sometimes anapaswa kumwambia ukweli kwamba sina haja nawewe then akubaliane na chochote kitakachotokea.
Sasa anaanza vitisho juzi kamchorea dili la kuitwa board room halafu akamfungia kwa njee .
Isingekuwa ni wasamaria saa tatu usiku sijui ingekuwaje asingetoka
 
Weweee acha hizo bhana bado mdogo ni 22 tu eti

Yaani kumbe ni mmama mzima wa miaka 22 ndio unasema ni mtoto? Kijijini huyo ilibidi awe alishaolewa na anawatoto watatu saiz. Na kwa umri huo kama bado akitongozwa anakuja kusema nyumbani basi kuna shida mahala. Ndio maana nimeshauri aache kazi akae nyumbani. Akishakomaa kiakili na kujua kwamba kwa mwanamke kutakwa kimapenzi ni kawaida na njia zipi zinafaa kuhandle issue ndogondogo kama hizo ndio aanze kutafuta kazi.
 
Amechumbiwa sasa anamtu wake na anawivu ndio maana na kupendwa ofisini nikawaida ila mtu anapete tayari .
Mke wa mtu mtarajiwa tumeshakula posa ya watu hivi hii ni sawa kumtongoza mchumba wa mtu?
 
Mungu alituumba wote kwa mfano wake sasa hawaendani vipi mkuu.
Nenda kamuone meneja mwambie ni mkeo akae nae mbali.
Kama vp mripoti Takukuru hiyo ni Uhujumu uchumi akanyee debe,wanawasumbua sana dada zetu wanahangaika kusoma halafu kuajiriwa mpakaa intavyuu ya chupini.
 
Mdogo wangu yupo kwenye kampuni halafu ameshaniletea matatizo Manager wake anamtaka taka na yeye hana muda naye. I mean hawaendani amemsumbua kuanzia mwezi wa kwanza hadi huu wasita na mpaka now amempa matatizo kabisa.

Sasa leo kaja home kasema haendi tena shughulini kisa huyo Manager, sasa mimi nifanyaje? Na kazi kupata ni shughuli
TAKUKURU ipo awasiliane nao ili asigawe papuchi na wala asipoteze kibarua chake vinginevyo ajiandae kutoa nyama laini
 
Back
Top Bottom