Hivi Managers wa kiume mkoje?

Hivi Managers wa kiume mkoje?

Mdogo wangu yupo kwenye kampuni halafu ameshaniletea matatizo Manager wake anamtaka taka na yeye hana muda naye. I mean hawaendani; amemsumbua kuanzia mwezi wa kwanza hadi huu wasita na mpaka now amempa matatizo kabisa.

Sasa leo kaja home kasema haendi tena shughulini kisa huyo Manager, sasa mimi nifanyaje, na kazi kupata ni shughuli?
akamshitaki takukuru tu
ni kosa kisheria kumsumbua kimapenzi mfanyakazi wako wa kike
 
Je angekuwa ameliwa tunda kimasihara na manager, angekuja kukwambia manager anamsumbua?
 
Mdogo wangu yupo kwenye kampuni halafu ameshaniletea matatizo Manager wake anamtaka taka na yeye hana muda naye. I mean hawaendani; amemsumbua kuanzia mwezi wa kwanza hadi huu wasita na mpaka now amempa matatizo kabisa.

Sasa leo kaja home kasema haendi tena shughulini kisa huyo Manager, sasa mimi nifanyaje, na kazi kupata ni shughuli?
Huyu mdogo wako kuna siku atamkumbuka huyo meneja wake.Kutakwa sio kusumbuliwa ni sehemu ya social behaviour.Kama anatakwa ni jinsi ya yeyey kuonesha ukomavu lakini pembeni ya hapo basi amripoti kwa kumfanyia harasment.Yupo Kampuni gani?(PM)
 
Angekuwa anaendana na mr Manager ingekuwa swafi!? Nadhani huyo Manager kama siyo MFUPI NA KITAMBI, basi atakuwa MFUPI MWENYE UWALAZA NA HANA PESA ILA NI JINA TU
 
Mdogo wangu yupo kwenye kampuni halafu ameshaniletea matatizo Manager wake anamtaka taka na yeye hana muda naye. I mean hawaendani; amemsumbua kuanzia mwezi wa kwanza hadi huu wasita na mpaka now amempa matatizo kabisa.

Sasa leo kaja home kasema haendi tena shughulini kisa huyo Manager, sasa mimi nifanyaje, na kazi kupata ni shughuli?
Mkienda takukuru mkawaeleza mkasa mzima wanaweza kuweka mtego na kumpata hiyo Manager na tuhuma za rushwa ya ngono
 
Amechumbiwa sasa anamtu wake na anawivu ndio maana na kupendwa ofisini nikawaida ila mtu anapete tayari .
Mke wa mtu mtarajiwa tumeshakula posa ya watu hivi hii ni sawa kumtongoza mchumba wa mtu?
ANATONGOZWA MKE WA NDOA TAKATIFU ANAGONGWA NA KUZALISHWA NA MTOTO ANALELEWA KWENYE BABA MWENYE MKE SEMBUSE MCHUMBA!AACHE UJINGA AMPE MENEJA
 
manager mshamba kwa nini asimlipoti kwa mtu wa juu yake
 
Amechumbiwa sasa anamtu wake na anawivu ndio maana na kupendwa ofisini nikawaida ila mtu anapete tayari .
Mke wa mtu mtarajiwa tumeshakula posa ya watu hivi hii ni sawa kumtongoza mchumba wa mtu?
mchumba wake ndiye apambane naye
 
Back
Top Bottom