Ana degeree ya InstagramWanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Naona watu mnamchambua "hero" wa CHADEMA!!!
No wonder hivi sasa CHADEMA wanaishia kutiwa makonde na kuambulia kiti kimoja out of 43!!!
Mtu kama Mange hawezi kuwa influencer halafu ukatarajia kupata watu makini na matokeo yake chama kinaishia kuwa na wafuasi wapiga kelele ambao hawana physical political interaction yoyote zaidi ya Instagram ambako kura wala hazipigwi!!!
kasomaUna uhakika kasoma UDSM?
hoja humu ni elimu yake haya mengine achaneni nayoCHADEMA siku hizi hata hawaeleweki kabisa.
Kuna leadership crisis ndani ya hicho chama.
Even worse, huyo dada ni kama ndo de facto spokeswoman wa hicho chama.
Yeye ni matusi tu. That’s the only thing she’s good at.
Very sad to see CHADEMA go down the drains like this.
kasoma
Atakuwa amepita KoromijeUna uhakika kasoma UDSM?
Atakuwa amepita Koromije
Mange kaelimika sana anaujuzi na ufahamu wa mambo mengi,ila hajahudhuria vidato vingi kukaa darasani kama hao wenye vyeti na PHD fekiWanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Miafrika Ndivyo TulivyoUnajua wafuasi wengi wa huyo mental case ni watu wasio na akili.
Ndo maana hata kuhoji hawajui. Pia, ndo maana wanapenda vi-hoja na viroja vya matusi.
............... wewe unamchukia mange tu najua kakuzidi mambo kibao japo wote mishe zenu ni mabox..............Ushahidi kuwa kasoma na kuhitimu UDSM uko wapi?
Just simply saying it so doesn’t make it so!
Teh teh teh..Kuna nini cha ajabu zaidi ya kwamba ndio University ya kwanza Tanzania?
Au na wewe ndio waliokariri shoeshine ni kiwi tu na margarine ni blue band tu na dawa ya meno ni Colgate.
Haya ni mawazo ya kijima.
Ana masters, kama inavyoonejana hapa. Ila itapendeza zaidi ukishare na wewe elimu yako.
View attachment 640426
............... wewe unamchukia mange tu najua kakuzidi mambo kibao japo wote mishe zenu ni mabox..............
Mange akuwahi kusoma Degree buana hapo UDSM, alisomaga Diploma ya computer kuna hicho chuo kilikua na tawi hapo UDSM sema nishakisahau! mbona alifungukaga mwenyewe kwenye ile blog yake U-TURN.Hahaha ila mnavyobishana hadi raha.