PhD Ila sio fake Kama ya bwana YuleWanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Soon you will hear from mods.Duh! Viuono tana mkuu?
Ana Dagree na Masters ya Business Administration na PhD ya umbea ,Chuki na Roho Mbaya
Ina maana Mange amesoma kumzidi Mkuu wa Mkoa huyu naniliu huyu?
Tetetete mzee wa makaniki na mtoto wakePhD Ila sio fake Kama ya bwana Yule
Acha zarau usijione una akili sana...hata kama kapata division four form four inakuhusu nini...kuna waliozingua form four ila mda huu wanashikilia sekta nyeti sana nchini...kwa hiyo usione kila aliyezingua form four ni kilazaAchana na vyeti, uliza alipata div. gani form 4?? Naamini huko ndo unaweza kumjua kilaza, vyuoni hakuna kitu, tena km kasoma MBA ndo kabisaaaaa@
Back to school DudeWewe mpuuzi kweli sasa nitawekaje jina langu halisi kwenye feki ID?
Nina degree ya sheria.
Mbona iko wazi? Kuwa mkweliMkuu nimekaguwa original post yangu hakuna sehemu niliyotaipu neno " mimi ni dada yake" that means umeedit original post yangu na kwa sheria na kanuni za JF unastahili adhabu kali ban mpaka ya miezi mitatu.
Nakuripoti sasa hivi kwa mods na kuweka msisitiza nawapigia na simu kabisa ofisi za JF ili utiwe adabu utakapomaliza adhabu utarudi na nidhani.
Mimi nimemaliza.
Roho mbaya hiyo mkuuMkuu nimekaguwa original post yangu hakuna sehemu niliyotaipu neno " mimi ni dada yake" that means umeedit original post yangu na kwa sheria na kanuni za JF unastahili adhabu kali ban mpaka ya miezi mitatu.
Nakuripoti sasa hivi kwa mods na kuweka msisitiza nawapigia na simu kabisa ofisi za JF ili utiwe adabu utakapomaliza adhabu utarudi na nidhani.
Mimi nimemaliza.
Nje ni Wolongong university LagosπππMange amesoma soma
In details alichosomea sikumbuki ila alishawahi kuelezea na amesomea nje
Ni Dubai si LagosNje ni Wolongong university Lagosπππ
Sidhani kama kashasoma NigeriaNje ni Wolongong university Lagosπππ
Hujui madhara ya mtu ku-edit original post yako.Roho mbaya hiyo mkuu