yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
PhD Ila sio fake Kama ya bwana YuleWanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!