Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Achana na vyeti, uliza alipata div. gani form 4?? Naamini huko ndo unaweza kumjua kilaza, vyuoni hakuna kitu, tena km kasoma MBA ndo kabisaaaaa@
Acha zarau usijione una akili sana...hata kama kapata division four form four inakuhusu nini...kuna waliozingua form four ila mda huu wanashikilia sekta nyeti sana nchini...kwa hiyo usione kila aliyezingua form four ni kilaza
 
Mkuu nimekaguwa original post yangu hakuna sehemu niliyotaipu neno " mimi ni dada yake" that means umeedit original post yangu na kwa sheria na kanuni za JF unastahili adhabu kali ban mpaka ya miezi mitatu.

Nakuripoti sasa hivi kwa mods na kuweka msisitiza nawapigia na simu kabisa ofisi za JF ili utiwe adabu utakapomaliza adhabu utarudi na nidhani.

Mimi nimemaliza.
Mbona iko wazi? Kuwa mkweli

Swissme
 
Roho mbaya hiyo mkuu
 
Back
Top Bottom