Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Mange ni msomi hilo halihitaji mjadala na kichwani pia zimo na ni mtetezi wa wanyonge. Wasisi wangu ni dereva wa lori na bashite
 
Hata mie nina division four, na ni na adv dipl na degree Business Adm.
 
Alafu asubirie package yako kutoka Los Angeles kwa dada.
 
Hicho chuo unachosemea(African virtual learning) kasomea mtoto wa magufuli(suzan ) alikuwa mweupe hivi tena alikuwa anaishi maeneo ya hapo njiapanda ya kwenda chuo(udsm) karibu na kanisa flan.
 
Hahahaaa kaazi kweli kweli!

Ithibati kuwa alisoma UDSM iko wapi?
Sidhan kama utapewa vyeti hapa hata hao wengine tunasema wamesoma sehemu ni kwa sababu wao ndio wameandika au kusema so ni jukumu la wewe unayebisha kutuhakikishia kwamba hajasoma hapo ndio ilivyo!Mange anasema amesoma UDSM so ni wewe usiyetaka utuondolee doubts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…