Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Mange ni msomi hilo halihitaji mjadala na kichwani pia zimo na ni mtetezi wa wanyonge. Wasisi wangu ni dereva wa lori na bashite
 
Hapa tunachohakiki je ana vyeti fake? Jibu ni hapana.

Wakiitwa degree holder anatambulika au atambuliki? Jibu ni kwamba anatambulika ndio la msingi.

Kuna mtu pale magogoni Thesis yake ni ya maganda ya korosho you can imagine.

Nape Nnauye form kapata division four lakini sasa hivi ana masters ya Mzumbe na degree ya kwanza kapata India.
Hata mie nina division four, na ni na adv dipl na degree Business Adm.
 
Sema (andika) hivi:
Wanajamvi Mimi MWEMBESI ONE (kwa jina lako halisi ikiwezekana) Elimu yangu ni.............nimesomea fani............nimesomea chuo...............
Napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Alafu asubirie package yako kutoka Los Angeles kwa dada.
 
Hicho chuo unachosemea(African virtual learning) kasomea mtoto wa magufuli(suzan ) alikuwa mweupe hivi tena alikuwa anaishi maeneo ya hapo njiapanda ya kwenda chuo(udsm) karibu na kanisa flan.
 
Hahahaaa kaazi kweli kweli!

Ithibati kuwa alisoma UDSM iko wapi?
Sidhan kama utapewa vyeti hapa hata hao wengine tunasema wamesoma sehemu ni kwa sababu wao ndio wameandika au kusema so ni jukumu la wewe unayebisha kutuhakikishia kwamba hajasoma hapo ndio ilivyo!Mange anasema amesoma UDSM so ni wewe usiyetaka utuondolee doubts
 
Back
Top Bottom