ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Mkuu, endelea kubeba box huko USA, ya bongo tuachie wenyewe sie wabeba magogoWapi hapo aliposema aliposoma? Nionyeshe tafadhali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, endelea kubeba box huko USA, ya bongo tuachie wenyewe sie wabeba magogoWapi hapo aliposema aliposoma? Nionyeshe tafadhali...
Hahahaaa iko wapi ithibati?Mkuu, endelea kubeba box huko USA, ya bongo tuachie wenyewe sie wabeba magogo
Ha ha ha ya kubeba box usa au kubeba gogo bongo?[emoji3] [emoji1]Hahahaaa iko wapi ithibati?
Ya shujaa wenu kuhitimu UDSM.Ha ha ha ya kubeba box usa au kubeba gogo bongo?[emoji3] [emoji1]
Shujaa? Ndo nani huyo?Ya shujaa wenu kuhitimu UDSM.
Shujaa? Ndo nani huyo?
Hata mie nina division four, na ni na adv dipl na degree Business Adm.Hapa tunachohakiki je ana vyeti fake? Jibu ni hapana.
Wakiitwa degree holder anatambulika au atambuliki? Jibu ni kwamba anatambulika ndio la msingi.
Kuna mtu pale magogoni Thesis yake ni ya maganda ya korosho you can imagine.
Nape Nnauye form kapata division four lakini sasa hivi ana masters ya Mzumbe na degree ya kwanza kapata India.
Alafu asubirie package yako kutoka Los Angeles kwa dada.Sema (andika) hivi:
Wanajamvi Mimi MWEMBESI ONE (kwa jina lako halisi ikiwezekana) Elimu yangu ni.............nimesomea fani............nimesomea chuo...............
Napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
...umeshindwa wewe, basi ndo kila mtu !Thubutuu unadhani kila mtu anaweza kusoma UDSM kuna kachuo fulani hivi kalikua kana branch pale UDSM ndo alikua anasoma
Kweli mkuu maana naona anajitekenya na kucheka mwenyeweAchana na uyo dada.
Familia bora ya wasomi wapi?Kimambi ni std 7 labda useme anatoka familia tajiriMange anatoka familia bora ya wasomi. Bila shaka atakuwa na elimu nzuri isiyo ya kuunga unga
Amesoma BA UDSM private sponsorship na alikua anakaa Mabibo hostel ila nadhani ni zile entrance za VIDU (viwango duni)Hujaweka chanzo wala ushahidi.
Umesema tu.
Saying it so doesn't make it so!
UmeelewekaaaAna phd zaidi ya magu na vibaraka wake
Hahahaaa kaazi kweli kweli!Amesoma BA UDSM private sponsorship na alikua anakaa Mabibo hostel ila nadhani ni zile entrance za VIDU (viwango duni)
Sidhan kama utapewa vyeti hapa hata hao wengine tunasema wamesoma sehemu ni kwa sababu wao ndio wameandika au kusema so ni jukumu la wewe unayebisha kutuhakikishia kwamba hajasoma hapo ndio ilivyo!Mange anasema amesoma UDSM so ni wewe usiyetaka utuondolee doubtsHahahaaa kaazi kweli kweli!
Ithibati kuwa alisoma UDSM iko wapi?