Mange anasema amesoma UDSM so ni wewe usiyetaka utuondolee doubts
Ana masters ila ni mbobezi wa umbea na majungu ya hapa na pale!
Tafuta saizi yako wa kupambana naye, tutaletewa uchi wako hapa siyo muda..!Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Biashara utawala, ana MBA from UEA.Mange amesoma soma
In details alichosomea sikumbuki ila alishawahi kuelezea na amesomea nje
Wenye vichwa vyepesi Mange siyo saiz yenu aisei..!Ana Bachelor na Masters ya Business Administration na PhD ya umbea ,Chuki na Roho Mbaya
Kweli simpendiAna Bachelor na Masters ya Business Administration na PhD ya umbea ,Chuki na Roho Mbaya
It seems you want to prove him wrong but still beating around the bush! You can just be open and tell the public what you have in your mind about her!Hujaweka chanzo wala ushahidi.
Umesema tu.
Saying it so doesn't make it so!
Mimi nabichwa langu hili ukiona namkubali mange ujue hana undugu na banshitee..!Mange ni akili kubwa watu wanamgwaya huw anaongea facts anatema checheeeee
It seems you want to prove him wrong but still beating around the bush! You can just be open and tell the public what you have in your mind about her!
Ndio maana unaitwa nyani, dada yangu amegraduate na mange udsm kilaza weweI'm not beating around anything.
All I want is proof that she graduated from UDSM.
That's as gun-barrel straight as it gets.
Ndio maana unaitwa nyani, dada yangu amegraduate na mange udsm kilaza wewe
And you expect someone to put his or her certificate on this media just 4 u as if you're you're giving him or her a job! Are you an advocate who wants to certify her! Just chill and eat popcornI'm not beating around anything.
All I want is proof that she graduated from UDSM.
That's as gun-barrel straight as it gets.
Lame.And you expect someone to put his or her certificate on this media just 4 u as if you're you're giving him or her a job! Are you an advocate who wants to certify her! Just chill and eat popcorn
Basi sawa baki na ukweli unaoujua wewe na sisi we would remain na the so called "uongo" wetu ....Saying it so doesn't make it so!
Where is the proof?