mange hajawai kudailiwa udsm..
ila amesoma chuo kilicho maeneo ya udsm...
maana hakuna classmate hata mmoja anayesema mange amesoma nae degree gani hapo udsm..
na hata room mates wake wa mabibo hawana maelezo yaliyonyoooka...
mliosoma nae mange chuo njooni mtoe ushahidi