Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kubebishana tena hayo ni madharau laifu laifu.... Smart911 usije thubutu hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah haha. Kwakweli hapo kwenye kuto bebishana ..hata mimi ningekuwa nae nisingependa kuliona hilo ...kwa sababu mapenzi ya watu wa humu huwa yanaanzia kwenye majukwaa
Sent using Jamii Forums mobile app