Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Wapo wanaomaanisha ila asilimia kubwa watu wanaoitana babe kwenye comments huwa ni matani tuKweli kabisa Mkuu!
Na mara nyingi huwa katika hali ya utani tu,japo wapo nadhani ambao huwa wanamaanisha!
Sent using Jamii Forums mobile app