Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

hahaaa yaani ndio hivyo hivyo. Wakifika pm huko nikupeana contact kisha mikakati inaanza.. Sakayo
 
Kwa matazamo wangu, kuitana hakuna tatizo ni kawaida sana...

Kubebishana hiyo ni habari nyingine, wewe mwenyewe tuu, utaangalia kama unaona sawa kwako haya fanya, kama unaona siyo sawa utatulia...


Cc: mahondaw
 
Niko hapa natega sikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wengine kwao ..fursa ni kuwa nikupata wapenzi pia .... watu tuna tofautiana vipaumbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio suala la vipaumbele, ni kama unapoenda kanisani au kazini ukafanikiwa kupata mwenzi huko....tuseme ndio kilikuwa kipaumbele chako? Ni kwamba ulikuwa kwenye maisha yako ya kila siku ukajikuta umeokota dodo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…