Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Wivu lazima uwepo jamaniii mwenyewe namuoneaga babe wangu wivu sababu nampenda

Sihitaji swali wala maswali
 
Asanteeeee mama wenger
Kama mna mapenzi ya dhati lazima utaona wivu, maana inaanziaga babe ya hapa baadae ya Pm na mwisho ya fundi seremala kwa hiyo lazima karoho kaume
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama nakuona
Khaaaa
We mtu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujalala hebu, si uliagaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…