Jf mm kwa ajiri ya habari na kuangalia fursa mbali mbali na sio eti nitafute mwanamke humu uwo ni uzembe aisee..Sawa sawa.
Kama haufeki usitishike.
Hahaha hahahaHahaha...ila mbona hata wewe unabebisha superstar?
Comrade wewe zako nazijua.Ebu ngoja nikae kwa hapa nione kama nami nitapata babe....[emoji17] [emoji17] View attachment 1011252
Inawezekana pia ukawa mshika pembe,unaitwa babe hapa kumbe kuna watu wanajilia vyao huko pmAngalia usije ukakuta mwingine bado ako na kijiti utamuua kwa wivu.
chumvi yenyewe ya magadi kwa hiyo hakuna matokeo chanya[emoji38]Coco nipo sema hatuonani tu!
Nipe uzoefu wako basi dada maana umekula chumvi kunizidi.
Ikitokea umrmpata unaacha?Jf mm kwa ajiri ya habari na kuangalia fursa mbali mbali na sio eti nitafute mwanamke humu uwo ni uzembe aisee..
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wanatafnana sana humu wewehuyu yupo kazura mimba mwingine yupo ikwiriri wala hamjawahi onana zaidi ya visalamu vya hapa na pale huo wivu wanini mi naona mwenye kisu kikali tu ndo abebe baby
Over
Nmeshaagiza dear na ka Mirinda kabaridiiiiiiiiiAgiza supu hapo nakuja kulipa
Wa kwenye nyuzi roho hata haiumi,wale wa pm acha kabisa...usiombeWote wote....
Sasa unazionaje pm zake?Wa kwenye nyuzi roho hata haiumi,wale wa pm acha kabisa...usiombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tehtehteh...
Mkuu huyo dada yangu usimchukulie powa.
Hahahahah taratibuuuu MkuuBila shaka utalijibu panapostahili.
Nakutakia maandalizi mema ya kulijibu.