[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeongea ukweli mchunguMkuu Daby unajua hata mke wa mtu kama unaitafuna kuna muda unaona wivu ukijua Mme wake anaitafuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,..ila joanah ananizingua hatar.nmemuomba aje pm hataki
Tena mda huo wa mwezi wa 6 n mzuri wa kulima wa zao la mpunga ndo muda wetu wa kuvunaBado unaendelea mwisho 27/6
We kweli superstar wangu aki... Lakini kwangu huna madhara kabisaaa.....Kwa hiyo superstar mie mtani na yote uyasemayo ya utani!
Nilijua yanatoka moyoni
Hayo ndio mambo sasaTena mda huo wa mwezi wa 6 n mzuri wa kulima wa zao la mpunga ndo muda wetu wa kuvuna
Nisamehe superstar wanguu... Kwani unampango wa kubadili gia angani my superstar?!Umeniumiza roho superstar.
Aisee,kumbe mzee baba ndo mmiliki halali hapo.huwa naona wivu mtu akimmendea[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiokuwa na mabebe humu tunakoment pia?Hapa ni kwa wenye wapenzi hapa kama upo single tega sikio. Mfano babe yako kamwita babe member mwingine!! Unaskia wivu?
Je akimwita babe member mwingine kwa Id usioijua utajuaje ndiyo yeye ili uskie wivu?
Nauliza tu maana huwa ni kawaida kuitana mke/mme/honey/ na zaidi ya member mmoja.
Coco nipo sema hatuonani tu!
Nipe uzoefu wako basi dada maana umekula chumvi kunizidi.
Wivu unaweza ukawa nao sema inategemea mnapokua kwenye sita hio shughuli anayo kufanyia inakua na uzito kiasi ujueHapa ni kwa wenye wapenzi hapa kama upo single tega sikio. Mfano babe yako kamwita babe member mwingine!! Unaskia wivu?
Je akimwita babe member mwingine kwa Id usioijua utajuaje ndiyo yeye ili uskie wivu?
Nauliza tu maana huwa ni kawaida kuitana mke/mme/honey/ na zaidi ya member mmoja.
hahaha kwaiyo ni nyuki wa mashineniWe kweli superstar wangu aki... Lakini kwangu huna madhara kabisaaa.....
Yanatoka moyoni kabisaaa superstar wanguu
Oouh..sawa sawa.Wivu unaweza ukawa nao sema inategemea mnapokua kwenye sita hio shughuli anayo kufanyia inakua na uzito kiasi ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana jamaniiKwani hauzioni dalili?
Umeanza lini kutokuwa nae humu?
Ndio hivyo kwa mfano uko na mdada mkiingia faragha yeye anabaki kuimba taarabu kweli mtu kama huyo utamuonea wivuOouh..sawa sawa.
Huo uchochezi...hahaha kwaiyo ni nyuki wa mashineni