carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
VP kuhusu ndoa ikivunjika; kiongozi ataruhusiwa kubadilisha gia anganiHahaha hahaha....
Anavipata kwa wengine
Babe, naona tumeanzishiwa uzi wallah....[emoji134] [emoji134]
Babe, hii ndio picha yenye inavutia zaidi...[emoji12] [emoji12]
Zipi hizo Comrade..[emoji134] [emoji134]Comrade wewe zako nazijua.
Hapana mkuu...mimi sina wivu kwa mwanamke labda pombe ndio naweza kuwa na wivu nazoMmmh.
Manzi gani huyo mzee baba? Alikuumiza kwa wivu nini?
Haiwezekani ivunjike kabisaaaVP kuhusu ndoa ikivunjika; kiongozi ataruhusiwa kubadilisha gia angani
Jamaa kapata jiko kweli kweli!!! Sio kwa Ku pendwa uku aise mpaka Mimi sasa ka wivu kaameanza kuniingia ingia kwa mbaliHaiwezekani ivunjike kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kapata jiko kweli kweli!!! Sio kwa Ku pendwa uku aise mpaka Mimi sasa ka wivu kaameanza kuniingia ingia kwa mbali
Hivi kumbe wewe ni kama mimi???
Itakuwa ulienda tanga kuyasomea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana jamanii
Ya kawaida tuu mkuu...Itakuwa ulienda tanga kuyasomea
Wote wanao lizwa, yeye ni mdaka machozi....tehteehh [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Nimejikuta nacheka tu.
Unaenda kidaka chozi au
Mkuu, wewe ndio umeongea jambo la msingi wallah.....Hapana mkuu...mimi sina wivu kwa mwanamke labda pombe ndio naweza kuwa na wivu nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, naungana na wewe kwrny pombe ,binafsi Nina wivu ktk ugimbiHapana mkuu...mimi sina wivu kwa mwanamke labda pombe ndio naweza kuwa na wivu nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye nyuzi dada...
Si ndo huanzia apo
Sasa hapo ukute Daby naye ako na mbebez wake! Lazima aone wivu...Yaani mfano kama mimi hivi Daby ni baby wangu ila hatunaga mawasiliano mengine mbali na kukutana kwenye comments, sasa hapo roho inaumaje
Sent using Jamii Forums mobile app