Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hapa ni kwa wenye wapenzi hapa kama upo single tega sikio. Mfano babe yako kamwita babe member mwingine!! Unaskia wivu?

Je akimwita babe member mwingine kwa Id usioijua utajuaje ndiyo yeye ili uskie wivu?

Nauliza tu maana huwa ni kawaida kuitana mke/mme/honey/ na zaidi ya member mmoja.
Wivu upo hata kama ni uhusiano wa utani.
Mimi mtu akimuita ki mahaba Thad wangu hua nina mind sana.au Thad akimuita member yeyote kimahaba napata wivu
 
Back
Top Bottom