Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu upo hata kama ni uhusiano wa utani.Hapa ni kwa wenye wapenzi hapa kama upo single tega sikio. Mfano babe yako kamwita babe member mwingine!! Unaskia wivu?
Je akimwita babe member mwingine kwa Id usioijua utajuaje ndiyo yeye ili uskie wivu?
Nauliza tu maana huwa ni kawaida kuitana mke/mme/honey/ na zaidi ya member mmoja.
Sikimbii mkuu nakuja.. make mi kwa wivu tu aaaaaaaaaaaaaaaaaaa Smart911 ananijua vizuri
kama mnapendana kwa dhati sioni haja ya kuona wivuWeeeeeeeeeeee!! mi ninao na roho inauma eti my Smart911 jameniiii..
kama mnapendana kwa dhati sioni haja ya kuona wivu
Duh !! Haha ..Mkuu Daby unajua hata mke wa mtu kama unaitafuna kuna muda unaona wivu ukijua Mme wake anaitafuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kabisa mkuu ... Ndio maana sisi wengine tusio uweza ufisi tumeamua tutulie zetu tu ..bila mabebez humuKama mna mapenzi ya dhati lazima utaona wivu, maana inaanziaga babe ya hapa baadae ya Pm na mwisho ya fundi seremala kwa hiyo lazima karoho kaume
Hatari yanini sasa... wakati wao ni watu wazima na wameamua kupeana utamu kwa raha zao !Sijawahigi kufikiria kuwa na mwanamke humu jf duu kumbe kuna watu wanamahusiano humu aisee dah ni hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wengine kwao ..fursa ni kuwa nikupata wapenzi pia .... watu tuna tofautiana vipaumbeleJf mm kwa ajiri ya habari na kuangalia fursa mbali mbali na sio eti nitafute mwanamke humu uwo ni uzembe aisee..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah hii mbaya sana ... watu wana kuchora tuInawezekana pia ukawa mshika pembe,unaitwa babe hapa kumbe kuna watu wanajilia vyao huko pm
HahahaHili lipo saana.
Bila shaka basi washika pembe tupo wengi.