Mkuu, wewe ndio umeongea jambo la msingi wallah.....
Duuh ni kwamba mimi ndio sijaelewa au wewe ndio mgumu kuelewa?Sasa unazionaje pm zake?
Yes, kama Daby ana bebe wake wa ukweli humu akiona lazima karoho katamuuma ila mimi siwezi kuumia nikiona anabebishana na Mzigua90Sasa hapo ukute Daby naye ako na mbebez wake! Lazima aone wivu...
Halafu dada, ujue huu utani wa kwenye uzi ndo huzaa mapenzi[emoji85][emoji85][emoji85]
Mimi nazungumzia babe wa kiukweli umkute anabebishana na member wa kike humu... Kiukweli utaumia hata kama wanatanianaYes, kama Daby ana bebe wake wa ukweli humu akiona lazima karoho katamuuma ila mimi siwezi kuumia nikiona anabebishana na Mzigua90
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bebe wa kweli lazima utaumiaMimi nazungumzia babe wa kiukweli umkute anabebishana na member wa kike humu... Kiukweli utaumia hata kama wanataniana
Ewaaaaa....
Hahahaha, naungana na wewe kwrny pombe ,binafsi Nina wivu ktk ugimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wewe ndio umeongea jambo la msingi wallah.....
kumbe na nyie mlianza kimasihara sihara tu aisee!!!! Jamaa akajikuta anajiokotea embe dodo ivi iviSasa hapo ukute Daby naye ako na mbebez wake! Lazima aone wivu...
Halafu dada, ujue huu utani wa kwenye uzi ndo huzaa mapenzi[emoji85][emoji85][emoji85]
Kabisaaa mkuukumbe na nyie mlianza kimasihara sihara tu aisee!!!! Jamaa akajikuta anajiokotea embe dodo ivi ivi
Kuna siku nilikua na kikao SAA moja usiku halafu KIU kimenishika, ghafla nikaona picha ya ugimbi ,dah wivu ulinishika balaaUnajikuta upo eneo ambalo huwezi kutumia pombe mda huo..unaona jamaa kakaa na safarii zilizopoa barabaraa huwa wivu na gadhabu zinajitokeza kwa kasi ya ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wangu habebishi wala hakotian na mtu hovyo nna amani wala hanifanyi nipate wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
oooh very interesting!!! kwl mapenzi ni kama majani na hakika uote popote!!!!!Kabisaaa mkuu
Ilianza kama masikhara kabisaaa.... Tena kaka na dada!
Mkuu, karibu tupate kinywaji hapa St. Gasper.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Unajikuta upo eneo ambalo huwezi kutumia pombe mda huo..unaona jamaa kakaa na safarii zilizopoa barabaraa huwa wivu na gadhabu zinajitokeza kwa kasi ya ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wangu habebishi wala hakotian na mtu hovyo nna amani wala hanifanyi nipate wivu
Sabrina hajakuwa tuuu nikuletee mazagamba ya ng'ombe mkuu
Hahahaha, nikionaga post zako hasa km hz ,nafurahi sana ,huwa nakuelewa
Id yako ya zamani nani kweli ile maarufuHahahaha, nikionaga post zako hasa km hz ,nafurahi sana ,huwa nakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app