Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hili jibu wanalo wenye mapenzi ya Jf

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Unajikuta upo eneo ambalo huwezi kutumia pombe mda huo..unaona jamaa kakaa na safarii zilizopoa barabaraa huwa wivu na gadhabu zinajitokeza kwa kasi ya ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, karibu tupate kinywaji hapa St. Gasper.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
images.jpeg
 
Back
Top Bottom