Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Mfyuuuu kawaida hiyo vipiiii nakujua mm
Hivi kwa nn uliniaga unalala kumbe upo jf
We uliniaga unalala... Mie nikakuambia naenda oga nikuje kulala! Bahati mbaya sana usingizi haujakuja nikaingia JF
 
Back
Top Bottom