Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Naomba kufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo unataka wasiwepo?Naomba kufahamu
Mtu alitoka Darasa la kwanza mpaka darasa la saba anakuwa wa kwanza afu mwisho atafeli 😁😁 na anayepataga zero ashindeMtihan huwa unatumia gharama kuwa tang kuandaliwa kwake mpka kufanyika kwake. Hivyo inapotokea watu au kikundi cha watu ikatokea jambo la kuharibu zoez hili bas serikali itapata hasara kubwaa sana. Maana tena itabid uandaliwe mtihan mwingne na maana mitihan huhusisha polis na watu wa usalama wa taifa ili tuu zoez hili lifanyike kwa ufanisi mkubwaa.
WananiniKwaiyo unataka wasiwepo?
Uhakika afu wizi upo hata kama polisi yupo sema serikali iko na pesa za kuchezeaUwepo wa polisi hauna maana yoyote,ni njia ya kugawan Kodi za wadanganyika tu.unakuta polisi huyo huyo miaka kumi anapangiwa shule moja hiyo hiyo,wanamzoea ,wanamhonga anakuwa facilitator wa udanganyifu.Halafu kwenye vyumba vya mtihani hawaingii hadi waitwe na msimamizi.Ikiwa msimamizi ni mwizi wa mtihani polisi atasaidia nini?Kuna shule Kibaha mitihani huibwa ilihali polisi wapo.