Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Bora anayeangalia Mpira kuliko mwanaume anayeshabikia udaku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuwe 22 tukimbize mpira mmoja kwa dakika 90 na nyongeza..![emoji16]🤣[emoji28][emoji23]
basi hamjielewi.Mkuu hicho kitu huwezi kukielezea ni sawa tu na inavyotokea unampenda mwanamke flan haijalishi Leo kavaa nguo gani
Sio kweli ,huwezi kumpenda mwanamke bila sababu, lazima kuna kitu kitakuwa kimekuvutia mfano umbo lake ,makalio,macho,ongea yake, tembea yake , Tania yake nk.Mkuu hicho kitu huwezi kukielezea ni sawa tu na inavyotokea unampenda mwanamke flan haijalishi Leo kavaa nguo gani
hujielewi.Nilitaka nikueleweshe ila hilo jina lako linasema mengi huwezi elewa, labda wengine wajaribu.
sijawahi kupenda mpira japo nilishawahi kujilazimisha lakini nikaona hapana."Ukitaka Kujua Utamu Wa Ngoma Ingia Ucheze"
Mkuu karibu Katika Karamu Ndio Utajua Nini Siri Ya Yote
chanzo cha hiyo huba ni nini?.Ni huba tu, mi binafsi sikuwahi kuwa na interest na mpira ila sasa ni shabiki mandaz wa kufa na kuzikana wa kikosi cha SIM8A
boxing.wewe unashabikia nini?
udaku maana yake nini?.Bora anayeangalia Mpira kuliko mwanaume anayeshabikia udaku
Watu mpaka wanatoana roho kisa mpira.Mpira ni mchezo, siyo kitu serious. Ukifuatilia kwa makini unaweza ukaona kama ni uchizi fulani hivi, watu 22 wanakimbiza mpira mmoja wakati kuna mipira mingine iko nje. Kwa kutumia akili kubwa ni kama uchizi fulani hivi ila imeleta fursa na watu wamejenga investment na ajira ziko kwa wachezaji na wasimamizi wa shughuli yote nzima ya huo mchezo. Basically, sina muda wa kuangalia mpira wote, naangalia magoli tu, nahisi navutiwa na basketball kwasababu kila baada ya muda mfupi kuna goli linaingia so unafurahisha. Mkuu umeongea kitu cha msingi sana, fikirishi.
mtoa mada kwani wewe unavyopenda ngono, unapenda nini haswa? 😡😡😡Wakuu, hivi nyinyi ambao ni mashabiki wa mpira mnapenda nini haswa????
Mathalani mtu anaposema yeye ni shabiki wa timu fulani mfano Arsenal huwa anaangalia nini haswa mpaka anaamua kuwa shabiki wa timu hiyo???Kama ni aina ya mpira wanaocheza bila shaka mpira unabadilika kulingana na aina ya wachezaji ambao wapo katika hiyo timu pamoja na mbinu za kocha, sasa inakuwaje mtu ni shabiki wa timu hiyo hiyo miaka nenda miaka rudi ,tangu miaka ya 70 huko mpaka leo ,yeye anashabikia timu hiyo hiyo, wakati hata wachezaji tu huama tena unaweza kukuta kikosi kizima kikaondoka kwenda timu nyingine lakini shabiki akaendelea kushabikia timu hiyo hiyo?????
Binafsi sielewi nyinyi mnapenda mpira mnapenda nini haswa kwenye mpira.
watoto.mtoa mada kwani wewe unavyopenda ngono, unapenda nini haswa? 😡😡😡
Toa sababu za kupenda mpira ndio hoja iliyopo mezani kwa sasa.Mwanaume kamili lazima awe mshabiki wa mpira au mcheza mpira
Swali kwako
Nipe faida tano za Ubuyu
Umeelewa swali lakini?Kwani mtu anapopenda nyekundu, mwingine bluu, mwingine zambarau anapenda kwa sababu gani? Mwingine anapenda mwanamke mweupe, mwingine mweusi, mwingine "chura" mwingine "ki-portable" unadhani ni kwa nini? Ukishapata jibu ndipo utajua ni kwa nini mimi ni mpenzi wa Man U
Sababu kama zifuatazoToa sababu za kupenda mpira ndio hoja iliyopo mezani kwa sasa.